Dodoma FM

Umeme

24 September 2025, 9:45 am

Mapung’o aahidi kuipeleka kata ya Butobela kileleni

Vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania vimeendelea kunadi sera na ilani za vyama vyao ikiwa ni kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Na: Ester Mabula Mgombea udiwani wa kata ya Butobela, jimbo la Busanda, wilaya ya Geita,…

September 21, 2025, 8:40 am

JKT Itaka wafundisha utengenezaji mkaa mbadala

Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…

15 September 2025, 12:46 pm

Ukosefu wa umeme kilio kwa wakazi wa Ngh’ambaku

Licha ya wananchi hao kutumia mafuta ya dizeli kukabiliana na changamoto ya umeme bado mafuta hayo hayakidhi mahitaji yao. Na; Victor chigwada.Imeelezwa kuwa matumizi ya mafuta ya Diesel Kwa wakazi wa Kijiji Cha Ngh’ambaku Wilaya ya Chamwino imekuwa ni changamoto…

10 September 2025, 12:02 pm

Wanafunzi la saba watakiwa kujiamini

Mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi unafanyika kuanzia leo Septemba 10 hadi Septemba 11, 2025 Na Noela Lucas na Stephen Gerald Ikiwa wanafunzi wa Darasa la 7 Nchini wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi, wananchi Manispaa ya iringa…

22 August 2025, 5:45 pm

Watoto waathirika wakuu wa ukatili Zanzibar

Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar imesema jumla ya matukio 107 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa kwa mwezi wa Julai 2025 ambapo waathirika walikuwa 107 huku waathirika wengi wakiwa watoto sawa na asilimia…

15 May 2025, 3:03 pm

Kumbukeni kujiandaa kukabiliana na ukame Terrat Simanjiro

“Huu ndiyo wakati wa kuhakikisha maeneo yetu ya malisho yanalindwa, kuhifadhi mbegu za majani, na kuhakikisha tunafuata utaratibu wa kulisha mifugo ili kipindi cha ukame kisitukute hatuna maandalizi,” Kone Medukenya Na Baraka David Ole Maiaka Jamii ya wafugaji wa kijiji…

21 March 2025, 22:08

Mdee amwagiza DC Chunya kwa walioharibu miundombinu ya umeme

Serikali inapotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo yetu jamii inapaswa kuwa walinzi ili kuondoa uharibifu unaoweza kujitokeza. Na mwandishi wetu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa Mh,Halima Mdee amemuomba Mkuu wa Wilaya…