Dodoma FM

sayansi

13 December 2025, 12:03

RC Sirro aipongeza Buhigwe usimamizi vyanzo vya maji

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ili kuhakikisha inaimarisha utunzaji wa vyanzo vya maji Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema jamii inapaswa kuendelea kutunza vyanzo vya Maji…

13 December 2025, 11:27 am

ACP Mwakabonga  afanya ukaguzi mabasi  ya usiku Manyara

Madereva  kote nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuendesha vyombo vya Moto pindi wanapotumia vilevi kwakua itasaidia kupunguza ajali  za barabarani msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Na Emmy Peter Kamishina msaidizi wa Polisi (ACP) Joseph Mwakabonga  kutoka kikosi cha usalama…

2 December 2025, 7:32 pm

Vipaumbele vya Reuben Sagayika baada ya kula kiapo

Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita limeketi leo Disemba 02, 2025 katika kikao cha kwanza ambapo lilianza kwa zoezi la madiwani wateule kula viapo vya utumishi. Na: Ester Mabula Diwani wa kata ya Kalangalala Reuben Sagayika mara…

18 November 2025, 12:21 pm

Maafisa maendeleo Geita wapewa maagizo mazito

Fursa ya ufugaji wa Samaki kwa kutumia vizimba iliyokuwa haitazamwi sana kwasasa imekuwa kimbilio Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imewataka maafisa maendeleo kuhakikisha wanakuwa daraja muhimu la kuwakwamua Wananchi kiuchumi kwa kuibua fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye maeneo yao ikiwemo…

27 October 2025, 4:13 pm

Makala: Uongozi si jinsia, ni uwezo

Sikiliza hoja zenye kutafakalisha, simulizi za kweli, na sauti zinazovunja ukimya kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi ya nchi. Na Dina Shambe na Edward Lucas Katika kipindi hiki maalumu cha Redio Mazingira FM ,wachambuzi wa masuala ya kijamii,Viongozi wanawake,na wananchi…

30 September 2025, 1:16 pm

Jitihada za wazazi Ihumwa zaongeza walimu wa sayansi

Jitihada hizo pia zimeongeza ufanisi wa ufundishaji, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya kufundishia vilivyoboreshwa kupitia michango ya wazazi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa jitihada za wazazi katika Shule ya Sekondari Ihumwa zimekuwa chachu ya kuongeza upatikanaji wa walimu wa masomo ya…

29 September 2025, 4:34 pm

Je, uongozi unazuia mwanamke kutimiza wajibu wake?

Katika mjadala tumechambua changamoto, mitazamo ya kijamii na nafasi halisi, tukitazama namna jamii inavyoweza kuunga mkono usawa wa kijinsia kwenye uongozi. Na Dina Shambe na Edward Lucas Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha ijumaa kilichowakutanisha chifu wa sizaki, mchungaji…

20 September 2025, 4:21 pm

Mwenge wa uhuru kutua Katavi Septemba 23, 2025

Kulia juu ni mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko. Picha na Benny Gadau “Mwenge wa uhuru unatarajiwa kutembelea miradi 46 yenye umbali wa 769” Na Benny Gadau Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wananchi kudumisha amani…