Dodoma FM

Nishati

18 November 2025, 11:41 am

Mkutano wa COP-30 kuwanufaisha wakulima wadogo Iringa

Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, maarufu kamaConference of the Parties — COP 30, unaendelea huko Belem nchini Brazil, ambapoTanzania ikiwa imewasilisha agenda kumi na mbili. Na Joyce Buganda Nuru Fm imekuandalia makala fupi kuhusu athari zinazowakumba…

14 November 2025, 12:19 pm

Jamii yahimizwa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Afisa Kilimo, Elton Dickson Mtani, jamii inapaswa kupunguza matumizi ya mbolea za viwandani, kuacha ukataji miti hovyo na kuepuka uharibifu wa vyanzo vya maji, ili kulinda mazingira. Na Catherine Msafiri, Jamii imetakiwa kutunza mazingira na kupunguza shughuli za kibinadamu zinazochangia…

7 November 2025, 3:50 pm

Mnoko yaiomba serikali kuwasogezea huduma ya umeme

zaidi ya vitongoji 7 kati ya 10 katika Kijiji cha Mpwayungu vina uhitaji na nishati ya umeme Na Victor Chigwada. Wakazi wa kitongoji cha Mnoho Kijiji Cha Mpwayungu jijini Dodoma wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya nishati ya umeme itakayosaidia katika…

6 October 2025, 12:48 pm

Jamii yatakiwa kuepuka matumizi yanayozalisha ges ukaa

Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Twende kutalii Bw.Albert Chenza, amesema kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi ,idadi ya watalii wanaotembelea baadhi ya hifadhi inaweza kupungua. Na Catherine Msafiri Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Twende kutalii Bw.Albert…

30 September 2025, 10:31 pm

Jaji Kazi: Wapiga kura rasmi Zanzibar sasa 717,557

Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amesema jumla ya watu 8,325 wameondolewa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya kubainika kuwa hawana sifa, wakiwemo waliothibitishwa kufariki dunia. Akizungumza katika…

September 21, 2025, 8:56 pm

Machifu Songwe waombea uchaguzi

Umoja wa Machifu umefanya dua maalumu kusisitiza amani, utulivu na mshikamano Na Devi Mgale UMOJA wa Machifu Mkoa wa Songwe umefanya dua maalumu ya kuombea uchaguzi wa mwaka huu uwe wa amani na utulivu. Dua hiyo imefanyika Septemba 20, katika…

8 September 2025, 10:54 am

Plastiki, nguo chakavu, mabaki ya chakula fursa mpya ya ajira

Vijana changamkieni fursa za ajira kupitia urejelezaji wa taka kama plastiki, chuma, vitambaa au nguo zilizoisha na mabaki ya chakula ili kusaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira. Na Catherine Msafiri, Tanzania imekuwa na changamoto ya uchafuzi wa mazingira kwa hivi karibuni…

1 September 2025, 19:39

Baraka FM, wadau wake wawapa tabasamu wafungwa Ileje Songwe

Vitabu vya dini vinatuasa kuishi maisha ya kusaidia wengine kwani hakuna ambaye aliumbwa kwa mategemeo ya kukumbana na changamoto duniani. Na Hobokela Lwinga Kituo cha Redio Baraka kinachomilikiwa na kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi kimewashukru  wadau wake…

14 June 2025, 15:46

Somabiblia wawatoa msaada kwa wahitaji

Kampuni ya soma Biblia imefikisha miaka kumi katika kuadhimisha miaka hiyo wametembelea jeshi la magereza Rwanda Mbeya kuwatazama wafungwa na kutoa msaada wa vitu mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Wadau na taasisi mbalimbali wameombwa kutowatenga wahitaji badala yake wanatakiwa kujenga utamaduni…