Dodoma FM

Mnadani

3 July 2023, 2:15 pm

Halmashauri ya jiji Dodoma kugawa viwanja 1,035 kama fidia

Mwaka wa fedha ujao 2023/2024 halmashauri inatarajia  kupima takribani viwanja 6,000. Na Fred Cheti. Halmashauri ya jiji la Dodoma inatarajia kugawa jumla ya viwanja 1,035 kwa kufidia na kuwapunguzia  wananchi wanaodai viwanja takribani viwanja 3,995 eneo la Nala. Hayo yameelezwa…

21 March 2023, 4:50 pm

Hatimaye mgogoro wa ardhi Kingale watatuliwa

Baada ya mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kutatuliwa hatimaye zoezi la upimaji limeanza rasmi katika eneo hilo. Na Nizar Mafita. Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutatua mgogoro wa ardhi…