Dodoma FM

Maji

8 April 2025, 11:27 am

Walioacha shule watakiwa kurudi kuendelea na masomo

Mkuu wa shule ya Sekondari Keni Renatus Lyimo( picha na Salma Sephu) Katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ya shule ya sekondari Keni iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wazazi na walezi wamekumbushwa kuwarejesha shule wanafunzi wote walioacha…

28 March 2025, 5:19 pm

Halotel yakabidhi madawati skuli ya Kibweni

Mary Julius. Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya nane katika sekta ya elimu, Halotel wamekabidhi madawati kwa skuli ya Kibweni.Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika skuli ya Kibweni, iliyopo Mtoni, wilaya ya Magharib A, Naibu…

27 March 2025, 8:36 pm

Bodaboda Hai wapatiwa elimu

Kutokana na kuwepo kwa ajali nyingi zinazotokana na waendesha bodaboda, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Jimbo la Hai wamekutana na kuzungumza na waendesha bodaboda hao kwa lengo la kuhakikisha wanabaki salama. Na Elizabeth Mafie Maafisa wasafirishaji…

25 March 2025, 10:31 am

Kasi maambukizi ya TB yashuka nchini

Na Joel Headman; Arusha Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo la kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu…

19 February 2025, 3:32 pm

Akata bomba la Duwasa kwaajili ya kumwagilia Bangi

Kwa mujibu wa taarifa ,Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ikiendelea na kampeni ya usitishaji wa huduma ya maji kwa wateja ambao ni wadaiwa sugu. Mamlaka ya Majisafi na Usafi…

23 January 2025, 6:06 pm

Vitongoji vitatu jijini Dodoma vyaililia serikali changamoto ya maji

Wakieleza namna ambavyo kukosekana kwa maji safi na salama kunawaathiri wananchi hao, wameiomba serikali kutatua adha hiyo. Na Victor Chigwada.Wananchi wa vitongoji vya Chidobwe, Kaunda na Liwangama Kolimba wameiomba serikali kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na…