Dodoma FM

Maji

10 December 2025, 10:50 pm

TRA Zanzibar yaziba mianya ya kodi kupitia mafunzo maalum

Na Mary Julius. Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) upande wa Zanzibar Saleh Haji Pandu amesema serikali imekuwa ikipoteza mapato kutokana na ukosefu wa uelewa katika uuzaji wa rasilimali, hususan kwa wale wanaohusika moja kwa moja na mchakato…

1 December 2025, 1:26 pm

Gabriella Center yapambania watoto maalum kielimu

Jamii yaaswa kuachana na mitazamo hasi dhidi  ya watoto wenye mahitaji maalumu. Na Elizabeth Mafie Hai -Kilimanjaro Jamii imetakiwa kuondoa mitazamo hasi ya kuwaficha watoto wenye mahitaji maalumu, kwani watoto hao wana uwezo wa kujitegemea na kusimama wenyewe iwapo watapata…

25 October 2025, 3:16 pm

Makarani 792  wa Uchaguzi Maswa wapewa Somo

Makarani  waongozaji  wapiga  Kura  katika  Jimbo la  Maswa  Mashariki na Jimbo la  Maswa Magharibi wameaswa  kuzingatia  Kanuni, Miongozo  na  Sheria  za  Uchaguzi   zilizotolewa na Tume Huru ya  Taifa ya Uchaguzi  ili kuepuka  migogoro isiyokuwa ya lazima Nasaha  hizo zimetolewa  na …

14 October 2025, 12:13 pm

Changamoto ya maji Chanhumba karibu kutatuliwa

Hatua ya kufungwa kwa transifoma mpya katika kijiji cha Chanhumba italeta faraja kwa wananchi waliokuwa wakikabiliwa na upungufu wa maji. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Chanhumba, Kata ya Handali, Wilaya ya Chamwino, wameanza kupata matumaini juu ya utatuzi…

30 September 2025, 12:53 pm

RUWASA yaombwa kuboresha miundombinu ya maji Iwondo

Changamoto kubwa ni kukosekana kwa umeme wa kutosha wa kusukuma mashine za visima vilivyopo. Na Victor Chigwada.Wananchi wa kijiji cha Iwondo, Kata ya Dabalo, Wilaya ya Chamwino wameiomba Mamlaka ya Usimamizi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)…

16 September 2025, 6:02 pm

Skauti mashuleni, njia ya kukuza uzalendo kwa vijana

Na wilaya ya Kati. Mkuu wa wilaya ya kati Rajab Ali Rajab, amewataka walimu katika Wilaya ya hiyo kuanzisha vyama vya Skauti katika skuli zao ili kuwajenga wanafunzi kuwa wazalendo, wenye maadili na kuwasaidia kuwa raia wema wa baadaye. Akizungumza…