Dodoma FM
Dodoma FM
4 December 2025, 5:28 pm
Madiwani wa manispaa ya Mpanda. Picha na Samwel Mbugi “Maadili ndio msingi wa maendeleo yetu katika manispaa yetu ya Mpanda” Na Samwel Mbugi Baraza la madiwani la manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limempitisha diwani wa kata ya Magamba Charles Philipo…
25 November 2025, 7:01 pm
“Sisi tunathamini mchango mnapokuwa na jambo lolote mtufikie” Na John Benjamin Wananchi wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wameaswa kudumisha amani na mshikamano utakaokuwa nyenzo muhimu wa kufanya shughuli za maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa masirahi taifa kwa ujumla.…
15 October 2025, 16:52
Wakuu wa taasisi binafsi na serikali wametakiwa kuwanufaisha wasajili wao na Mfuko Hifadhi ya Jamii wa Taifa (NSSF). Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Beno Malisa amewataka waajiri kutimiza takwa la kisheria la kuwasajili wafanyakazi wao katika Mfuko…
September 27, 2025, 4:59 pm
Wenyeviti wa vijiji wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameonywa juu ya kujichukulia maamuzi ya kuuza ardhi ya kijiji bila kuwashiriki wananchi kupitia mikutano mikuu ya vijiji. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Zaituni Msofe, amewataka wenyeviti wa…
11 September 2025, 7:14 pm
‘Tuendelee kuhamasishana kushiriki kampeni za uchaguzi bila kusababisha taharuki wala kuvuruga amani’ Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, ameendelea kusisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa…
30 August 2025, 1:10 pm
“Hatuna utaratibu wa kuwakata wagonjwa wetu miguu” Na Anna Mhina Baadhi ya madereva pikipiki maarufu kama bodaboda wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuingilia kati suala la kupatiwa haki ya huduma za kiafya pindi wanapopata ajali. Wakizungumza na…
24 August 2025, 7:00 pm
Chama cha waganga wa tiba asili nchini TAMESO (T) kimebaini changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na ushiriki mdogo wa waganga kwenye vikao vya kuwapatia elimu Na Mwandishi wetu Chama cha waganga wa tiba asili nchini TAMESO (T) ambacho kimeungana na…
August 16, 2025, 12:59 pm
Wafanyabiashara Tunduma waomba serikali kuboresha mfumo wa kodi mpakani ili kurahisisha biashara na kuongeza ushindani. Na Emmanuel Mkondya Wafanyabishara wa Tunduma wameiomba kuweka mifumo rafiki ya kodi katika mpaka wa Tanzania na Zambia ili waweze kunufaika na bishara ya mpakani…
24 July 2025, 4:18 pm
kufuatia ithibati hiyo watatoa Huduma bora Kwa wakazi wa mpwapwa na viunga vyake. Na Steven Noel. Uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mpwapwa imeboresha Huduma za kimaabara kufuatia kupatia kupatiwa ithibati na wizara ya Afya na kuanza kutoa Huduma ambazo…
16 July 2025, 10:45 am
“Kuna watu wanasema miti na binadamu inategemeana sasa tukiikata hii miti tutaishije?” Na Catherine Sekibaha Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kutunza mazingira ili kunusuru hali ya uharibifu iliyopo kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Wakizungumza wakati wa…