Dodoma FM

korosho

10 January 2024, 12:04 am

Ajira katika umri Mdogo zinavyo kwamisha ndoto za mabinti

Kama mwajiri atatoa madai kwamba hakufahamu kwamba mtu aliyemuajiri ni mtoto wakati wa kumpa ajira au kudai kupewa taarifa zisizo sahihi watakua na wajibu wa kuthibitisha kua ilikua sahihi kwa wao au mtu mwingine yeyote mwenye akili timamu kuamini kwamba…

13 November 2023, 4:31 pm

Ubakaji, ulawiti kwa watoto wakithiri Dodoma

Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha One stop center kwa mwezi Septemba 2023 ambapo takwimu zimebainisha kuwa mkoa wa Dodoma matukio ya ukatili wa kijinsia kwa  watoto 130  kwa matukio ya ubakaji huku watoto 69 wakilawitiwa. Na Seleman…

15 September 2023, 7:12 am

Zaidi ya wananchi 1500 wafikiwa na elimu ya malezi

Program jumuishi ya malezi, makunzi na maendeleo ya awali ya mtoto ilizinduliwa mwaka 2021 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo wadau mbalimbali wanatekeleza program hiyo. Na Mariam Matundu. Zaidi ya wananchi elfu moja na…

5 September 2023, 3:35 pm

Watoto wasaidiwe kuvuka barabara ili kuepusha ajali

Kundi la watoto ni miongoni mwa makundi yanayohitaji misaada hususani pale wanapokuwa katika maeneo ya barabara ili kuepukana na ajali zinazoweza kutokea. Na Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushiriki katika suala la kuwasadia watoto pale wanapoelekea shuleni na maeneo mengine ya…

21 August 2023, 6:15 pm

Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto

Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…