Dodoma FM

Kilimo

5 October 2025, 6:40 pm

Kuna umuhimu gani kwa mwanamke kushiriki mikutano ya kampeni?

Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina “Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu…

3 October 2025, 3:11 pm

Masanja aahidi kurasimisha vituo vya bodaboda Mpanda

Mwenyekiti wa CHAUMA Katavi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mpanda mjini. Picha na Betord Chove “Tunakwenda kuwatafutia mahali pa kufanya biashara zenu” Na Betord Chove Mgombea wa ubunge kupitia chama cha ukombozi wa umma {CHAUMA} Massanja Musa Katambi amesema…

23 September 2025, 6:33 pm

Wakulima Ifakara wapewa mafunzo ya kilimo

Wakulima Ifakara wamefundishwa umuhimu wa kupima udongo na kutumia mbolea kulingana na mahitaji halisi ya udongo. Na; Isidory Mtunda Wakulima katika halmashauri ya mji wa Ifakara, wilaya ya Kilombero, wamepatiwa mafunzo juu ya kanuni bora za kilimo, hususan umuhimu wa…

23 September 2025, 09:13 am

TANESCO kuongeza uzalishaji wa umeme Mtwara

TANESCO kuongeza uzalishaji wa umeme kwa MW 20 katika kituo cha Hiari, Mtwara, kukabiliana na upungufu wa umeme Lindi na Mtwara. Mashine mpya itakamilika ndani ya mwezi mmoja, ikiongeza uzalishaji hadi MW 70 Na Musa Mtepa Mtwara, Tanzania – Shirika…

19 September 2025, 12:38 pm

TOSOVIC,MPANDA FM , WANANCHI WAJADILI  KUHUSU UCHAGUZI.

Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mjadala, aliyesimama ni mtangazaji wa Mpanda radio FM Betord Chove. Picha na Benny Gadau “Ili niweze kupiga kura cha kwanza niwe na kitambulisho” Na Betord Chove na Benny Gadau Mpanda radio FM kwa kushirikiana taasisi…

September 17, 2025, 11:29 am

Nyasa waaswa kuchangamkia fursa za bandari

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia ya kuzichungulia fursa mbalimbali kwa kutazama changamoto zilizopo katika jamii. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia…

16 September 2025, 3:56 pm

MNEC Sampa azindua kampeni za CCM Nsimbo

MNEC Gilbert Sampa kulia akimnadi mgombea ubunge jimbo la Nsimbo Anna Lupembe. Picha na Samwel Mbugi “Tufanye kampeni za kistaarabu hakuna sababu za kutumia kejeli wala matusi” Na Samwel Mbugi Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Katavi kimezindua kampeni jimbo…