Dodoma FM

katiba

27 November 2025, 4:31 pm

TGNP yazinoa kamati za viongozi MTAKUWWA

Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) imetoa mafunzo kwa kamati za viongozi ngazi ya vijiji na kata Na Marino Kawishe Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) umeendesha mafunzo yakuwajengea uwezo viongozi warakibishi waliopo kwenye kamati za mpango wa taifa wakutokomeza ukatili dhidi…

8 September 2025, 14:43

Sangoma arudisha matunguli kanisani na kuokoka Uvinza

Wito umetolewa kwa waganga wa jadi kuacha kupiga ramli chonganishi kwenye jamii kwani zimekuwa zikileta uchonganishi kwa wananchi na kuchochea migogoro Na Sofia Cosmas Wakristo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wametakiwa kuachana na imani za kishirikina na…

24 July 2025, 10:47 am

DC Tanganyika akemea ubadhirifu

Picha ya pamoja ya viongozi wa mradi, katikati ni mkuu wa wilaya ya Tanganyika. Picha na Anna Millanzi “Kila fedha inayotengwa kwa miradi imelenga kuimarisha ustawi wa jamii” Na Anna Millanzi Katika kuhakikisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji…

20 June 2025, 12:15

Madereva Nyanda za Juu Kusini wagoma, faini za barabarani zatajwa

Mapema leo katika barabarani ya Tanzania, Zambia hali imekuwa mbaya kwa abiria baada ya madereva wanaotumia njia hiyo kusafirisha abiria kugoma kufanya kazi.‎‎ Na Mwandishi wetu,Songwe‎‎ Madereva wanaofanya safari zao Mbeya,Ileje mkoani Songwe na sumbawanga mkoani Rukwa wamegoma kwa kushinikiza…

19 June 2025, 18:53 pm

Familia inavyochangia ukuaji wa viongozi wanawake

“Mabadiliko makubwa yameanza kujitokeza ambapo wanawake wameanza kushika nafasi muhimu za uongozi katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi na hata uongozi katika taasisi za dini.” Na Mwanahamisi Chikambu Katika historia ya jamii nyingi duniani, mwanamke ameonekana kuwa nyuma katika masuala…

7 May 2025, 5:27 pm

Wakulima Manyara tumieni mbegu za asili

Wakulimà mkoani Manyara watakiwa kuendelea kuzalisha mbegu za asili na kuzitumia kwa matumizi ya chakula na biashara ili zisitoweke kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.  Na Angel Munuo Wakulimà mkoani Manyara  wametakiwa kulima kwa kutumia mbegu za asili za…

7 March 2025, 7:22 pm

Mbunge Ghati ahimiza ushirikiano kwa wanawake

Mbali na kuwataka wanawake kuwa na mshikamano pia amesema ni lazima zisemwe kazi nzuri zilizofanywa na serikali awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu Hassan Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanawake wote kuwa na ushirikiano na kujenga tabia…

February 4, 2025, 5:08 pm

TAKUKURU yaokoa milioni 137.8 fedha za mauzo ya viwanja Kahama

Na Marco Maduhu Dawati la uchunguzi walipokea malalamiko 38,yaliyohusu rushwa ni 20 yasiyo husu rushwa ni 18, na kwamba uchunguzi wake unaendelea, huku akibainisha kuwa wamejipanga pia kuzuia vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi mkuu ambao utafanyika mwaka huu 2025. Taasisi…

17 January 2025, 5:51 pm

TFRA yatoa mafunzo ya usajili kwa maafisa ugani Babati

Na Mzidalfa Zaid Mamlaka ya Udhibiti wa  mbolea  Tanzania (TFRA) kanda ya kaskazini imetoa mafunzo ya usajili wa wakulima kwa maafisa ugani na  kilimo wa halmashauri za wilaya ya babati na  babati mji mkoani Manyara kupitia njia ya elektroniki. Meneja…