Dodoma FM

jeshi la polisi

6 January 2024, 6:02 pm

Wakazi wa Loje watoa shukrani ujenzi wa Daraja

Wananchi hao wanasema kukosekana kwa daraja pia kulihatarisha hali ya usalama wao hasa kipindi cha mvua. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wametoa Shukrani kwa Serikali kwa Juhudi kubwa ya Ujenzi wa Daraja linalounganisha Kijiji cha…

31 October 2023, 10:49 am

Wakandarasi watakiwa kuzingatia matakwa ya jiji la Dodoma

Huu ni mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu katika miji ya Tanzania ujulikanao kama TACTIC  unaofanywa na wakandarasi watatu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi waliopewa miradi ya kujenga miundombinu ya barabara katika jiji…

7 June 2023, 6:53 pm

Wananchi Mpwayungu waishukuru serikali kwa kuboresha barabara

Katika maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa dodoma ukarabati wa miundombinu mbalimbali umekuwa ukifanywa ambapo imekuwa ikisaidia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza changamoto ya usafiri . Na Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mpwayungu iliyopo katika wilaya ya Chamwino mkoani…

11 April 2023, 3:57 pm

Wafugaji Bahi watakiwa kuheshimu miundombinu ya barabara

Mifugo inapopitishwa kwenye barabara inaharibu miundombinu ya barabara na kusababisha hasara kubwa kwa serikali pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika. Na Bernad Magawa. Wito umetolewa kwa wafugaji na wafanyabiashara wa mifugo wilayani Bahi kulinda na kuheshimu miundombinu ya barabara…

7 March 2023, 4:11 pm

Ujenzi wa barabara watajwa kuwa kichocheo cha fursa

Sekta ya barabara imekuwa na mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo usafirishaji wa bidhaa. Na Thadei Tesha. Ujenzi wa barabara kuelekea mtaa wa Ntyuka jijini dodoma unatajwa kuwa chanzo cha kuchochea zaidi fursa za kiuchumi. hayo ni kwa mjibu wa…

16 February 2023, 3:46 pm

Bilioni 1.172 kujenga barabara kongwa

Wakala wa barabara za mijini na vijijini Tanzania (TARURA) wilayani kongwa wanatarajia kutumia shilingi Bilioni 1.172 kwaajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya barabara katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na Bernadetha Mwakilabi. Meneja wa TARURA Kongwa injinia Peter…

16 September 2022, 1:57 pm

Kata ya mnadani yaipongeza Dodoma fm Radio .

Na; Benard Filbert. Mwenyekiti wa mtaa wa Karume kata ya Mnadani Jijini Dodoma Bw Matwiga Kiatya ameipongeza Dodoma Fm kwa kuripoti habari kuhusu changamoto ya barabara katika mtaa huo ambayo kwa sasa ipo kwenye mchakato wa Ujenzi Akizungumza na taswira…