Dodoma FM

Fursa za ajira

10 April 2023, 3:19 pm

Vijana wakumbushwa kujiwekea akiba

Mara kadhaa kumekuwepo na baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakihinda vijiweni pasipo kuwa na ajira huku wengi wao wakisema kuwa mitaji ni miongoni mwa changamoto zinazopelekea kushindwa kujiajiri. Na Thadei Tesha. Vijana wametakiwa kutumia vyema nafasi waliyonayo katika kuwekeza kidogo…

30 March 2023, 6:14 pm

Vijana wazungumzia changamoto za mikopo halmashauri

Vijana hao wamesema kuwa kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa kwani wanatumia muda mwingi kufuatilia fedha hizo. Na Victor Chigwada .    Baadhi  ya vijana wa  kutoka Wilaya ya Chamwino wamezungumzia changamoto wanazozipata katika Halmashauri  pindi wanapoenda kuchukua mikopo inayotengwa na serikali…

8 June 2022, 2:28 pm

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Na; Lucy Lister . Vijana jijini Dodoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza na kuacha tabia ya kuchagua  kazi. Akizungumza na Dodoma fm Bw. Charles Mathias ambaye anajishughulisha na suala la kuongeza thamani kupitia biashara ya…

18 May 2021, 7:41 am

Wazazi: Vijana wageuze elimu zao kuwa chanzo cha ajira

Na; Alfredy Sanga Baadhi ya vijana wameeleza jinsi ambavyo kijana anaweza kujiajiri na kutafuta fursa mbali mbali katika kujikwamua kimaisha, badala ya kutegemea kuajiriwa  kutokana na ukosefu wa ajira nchini. Wakizungumza na taswira ya habari vijana hao wamesema kitu kikubwa…