Dodoma FM
Dodoma FM
4 December 2025, 9:03 am
“Wafugaji hawaelewi ukimwambia leo kesho anarudia tena” Na Restuta Nyondo Ongezeko la mifugo katika eneo la Kidakio cha Mto Katuma imetajwa kuwa chanzo cha uharibifu wa vyanzo vya maji mkoani Katavi. Felista Madeleke mjumbe wa kamati mto Katuma amesema kuwa…
17 October 2025, 3:19 pm
Picha ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum wakati wa uzinduzi wa jengo la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) jijini Dodoma. Picha na Anwary Shaban. Uzinduzi wa TIRA Bima…
29 September 2025, 1:27 pm
Sikiliza makala haya maalumu kuhusu uelewa wa jamii kuhusu uzazi wa mpango hatua ya kujenga jamii na uchumi. Na Dinnah Shambe Katika jamii nyingi, suala la uzazi wa mpango limeendelea kuwa jambo lenye mjadala mkubwa, hasa kutokana na mitazamo tofauti…
27 September 2025, 8:52 pm
Leo ikiwa ni siku ya utalii duniani ambayo huadhimishwa September 27 kila mwaka , jamii imetakiwa kuweka utaratibu wa kutembelea vivutio vinavyopatikana katika hifadhi zinazopatikana Kanda ya kaskazini. Na Mzidalfa Zaid FM Manyara Radio imekuandalia makala fupi inayozungumzia siku ya…
17 April 2025, 19:19
Kilimo ni uti wa mgongo,maelfu dunia ya watu duniani wamefanikiwa kufanya maendeleo mbalimbali kupitia kilimo. Na Hobokela Lwinga Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na taasisi isiyoya kiserikali ya Dynamic agriculture program Mbeya imeanza maonesho ya kilimo…
24 March 2025, 4:52 pm
Ikiwa leo Tanzania na dunia kwa ujumla inaadhimisha siku ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB) imeelezwa kuwa kundi la wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu lipo kwenye hatari zaidi ya kupata maambukizi ya ugonjwa huo kutokana na idadi kubwa ya…
13 June 2024, 12:41 pm
Ofisi ya Msuluhishi wa migogoro ya bima ni taasisisi inayojitegemea iliyoanzishwwa chini ya sheria ya bima Namba 10 YA MWAKA 2009 sura 394 na ilianza kufanya kazi mwaka 2015 baada ya msuluhishi kuteuliwa. Na Fred Cheti. Jamii imetakiwa kuwasilisha Migogoro…
8 June 2022, 3:50 pm
Baadhi ya wananchi Wilayani Mpanda wamesema wivu wa mali, hofu ya kupoteza nafasi na kutozimudu hasira zimekuwa ni sababu za migogoro mingi ndani ya ndoa. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi hao wamesema ndoa nyingi zimekuwa zikikumbwa na migogoro ya…
28 May 2021, 12:41 pm
Na; SHANI NICOLOUS. Mamlaka ya usimamizi wa bima Tanzania TIRA wametoa wito kwa wamiliki wa bima kuzingatia vitu muhimu vinavyohitajika wakati wakileta madai yao ili kupatiwa huduma sahihi itakayosaidia kutatua madai hayo. Akizungumza na Dodoma fm Afisa mwandamizi wa bima…