Dodoma FM
Dodoma FM
October 3, 2025, 6:39 pm
Uongozi wa CDEA kutoka Dar es salaam umetua Butiama ukiongozwa na Mkurugenzi wa Culture Development East Africa CDEA Ayeta Ane Wangusa kwa ajili ya kukutana na kufanya mkutano na wadau wa butiama juu ya maendeleo ya radio butiama uliofanyika leo…
23 September 2025, 3:07 pm
kila raia wa Tanzania ana haki ya kupiga kura ya kuchagua kiongozi anaye mtaka kwaajili ya maendeleo RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imewamba wananchi kushiriki kikamilifu kwenye mikutano ya kampeni inayofanywa na…
September 19, 2025, 5:33 pm
“Kiukweli uwepo wa soko la Kwashayo inatufanya sisi tushindwe kupata wateja serikali ikamilishe soko hili wafanya biashara waliopo kule wahamie hapa maana wakiwepo kule sisi hatuuzi kabisa hali hii inapelekea kushindwa hata kuendesha familia zetu” Alisikika mmoja ya wafanya biashara…
10 September 2025, 11:25 am
Baada ya utendaji mzuri wa miaka mitano wana ileje bado wanaimani na Kasekenya Na Sabina Martin Tanzania ikiwa inajianda na uchaguzi mkuu oktoba 29 Mwaka huu kampeni zinaendelea katika maeneo tofauti nchini ambapo mgombea ubunge jimbo la ileje kupitia chama…
1 September 2025, 14:50
Wananchi wa Mtaa wa Butunga Relini Manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kushamiri kwa matukio ya mauaji ya watu na kuomba ulinzi uimarishwe kwani hilo ni tukio la tatu ndani ya kipindi kifupi. Na Josephine Kiravu Mtu mmoja ambaye hajatambulika mara…
28 August 2025, 15:49
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto. Na Josephine Kiravu Wadau wa maendeleo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika kukabiliana na changamoto ya uwepo wa matukio…
26 August 2025, 5:08 pm
Ruangwa, Lindi – Agosti 26, 2025: Mgombea mteule wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Ruangwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kaspar Kaspar Mmuya, leo amechukua fomu ya uteuzi katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo katika…
15 August 2025, 16:28 pm
Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…
14 August 2025, 12:53 pm
Zaidi ya matukio 1,338 ya ukatili yameripotiwa Mtwara ndani ya miezi sita, huku Nanyumbu na Tandahimba zikiongoza. Viongozi wa ustawi wa jamii na dini watoa sababu, mikakati na wito wa kuimarisha malezi na maadili. Na Musa Mtepa Zaidi ya matukio…
13 August 2025, 15:29
Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuendelea kutoa taarifa na ushirikiano pindi matukio ya ukatili yanapotokea ili hatua zaidi ziweze kuchukuliwa. Na Emmanuel Kamangu Mabaraza ya watoto Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma yametajwa kuwa chachu ya kupungua kwa matukio ya ukatili…