Dodoma FM

Biashara

7 April 2021, 10:09 am

Hatimaye Soko la Sabasaba lapata uongozi

Na; Shani Nicolous Katibu wa Soko la Sabasaba jijini Dodoma Bw.Isaka Nyamsuka amesema kuwa wamejipanga vyema kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali  zinazowakabili wafanyabiashara. Bw.Nyamsuka amesema kuwa tayari wameanza kuyatekeleza baadhi ya majukumu ikiwepo kusimamia usafi na kupanua baadhi ya…

2 April 2021, 12:46 pm

Wafanyabiashara wahimizwa kulipa kodi bila shurti

Na; Shani Nicolous Wito umetolewa kwa wafanyabiashara nchini kulipa kodi bila kushurutishwa ili kukuza uchumi wa nchi. Ushauri huo umetolewa ikiwa ni siku moja baada ya agizo alilotoa rais Mh.Samia Suluhu Hassan juu ya kutumiwa kwa njia sahihi za sahihi…

5 March 2021, 1:28 pm

Halmashauri yahamisha mnada wa Msalato

Na, Shani Nicholous, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kuuhamishia mnada wa Msalato pembezoni mwa Soko la Jobu Ndugai lililopo Kata ya Nzuguni. Mpango huo umepangwa kutekelezwa kabla ya nusu ya mwaka huu ambapo mnada huo unatarajiwa kuanzia juma…

18 January 2021, 1:52 pm

Mvua yachangia miwa kupanda bei sokoni

Na,Shani Nicholous, Dodoma. Changamoto ya usafirishaji wa miwa imetajwa kama moja ya sababu inayochangia zao hilo kupanda bei ukilinganisha na hapo awali.Miwa husafirishwa kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine na kwa Dodoma wafanyabiashara wengi wamekuwa wakizipata kwa wingi Mkoani Tanga.Wakizungumza na…

13 January 2021, 9:02 am

Meya:Wekeni utaratibu kwa wajasiriamali kufanya shughuli zao

Dodoma. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imemwagiza Meneja wa Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma, kuweka utaratibu mzuri kwa ajili ya wajasiriamali kufanya shughuli zao kituoni hapo.Agizo hilo limetolewa na Meya wa Jiji hilo, Profesa Davis Mwamfupe, alipotembelea kituo hicho kwa…

11 January 2021, 12:45 pm

Bei ya mafuta ya alizeti yapaa

Na,Shani, Dodoma Imeelezwa kuwa kupanda kwa bei ya mafuta ya kula hususan ya alizeti kumechangiwa na mvua kubwa iliyonyesha msimu uliopita.Hayo yameelezwa na wafanyabasara katika soko la Majengo jijini Dodoma wakati wakizungumza na Dodoma Fm ambapo wamesema alizeti imeadimika kutokana…

22 December 2020, 12:23 pm

Waiomba Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki

Na,Thadey Tesha, Dodoma Baadhi ya wafanyabiashara wa kuku katika soko la Changombe jijini hapa wameiomba  Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki ya kuuzia bidhaa zao kutokana na eneo lililopo kutotosheleza mahitaji. Wakizungumza na Taswira ya habari wafanyabiashara hao wamesema kwa sasa mazingira…

8 December 2020, 2:51 pm

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 3.1 hadi 3.0 kwa mwezi Novemba kufuatia kasi ya mabadiliko ya bidhaa nchini Kupungua.Kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2020 imechangiwa na kupungua kwa bei…