Dodoma FM

Biashara

12 December 2025, 18:11

RAS Kigoma ataka elimu ya ukatili iendelee kutolewa kwa jamii

Wadau mbalimbali wa masuala ya ukatili wa kijinsia kwa kushirikiana na Serikali wametakiwa kuendelea kutoa elimu na mikakati ya kukabiliana na vitendo vya ukatili Na Hagai Ruyagila Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa, amewataka wadau wa maendeleo kuendelea…

December 3, 2025, 5:51 pm

Kasulu waomba nyama ishuke bei msimu wa sikukuu

Wafanya biashara wa nyama katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameeleza namana soko la nyama linavyoendelea pamoja na kubainisha kuwa bei ya nyama kupanda ni kutokana na soko la ng’ombe kuwa juu. Na; Sharifat Shinji Wafanya biashara wa nyama katika soko…

December 3, 2025, 1:06 pm

Bei ya mchele Kasulu yageuka kilio kwa walaji

Baadhi ya wananchi wa maisha ya chini wamewaomba Wafanyabiashara wa Mchele katika masoko ya Halamashauri ya Mji Kasulu kupunguza bei ya bidhaa hiyo kutokana na gharama kupanda na baadhi ya wananchi kushindwa kumudu gharama hizo. Na; Emily Adam Wafanyabiashara wa…

November 25, 2025, 11:18 pm

NGOs wafundwa kuhusu umuhimu wa kulipa kodi

NGOs katika Wilaya ya Kasulu wapongeza jitihada za Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kuwapa elimu na kuwakumbusha kanuni na sheria za kodi kupitia semina iliyoendeshwa katika wilaya hiyo. Na; Sharifat Shinji Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Kigoma…

25 November 2025, 17:08

Wanamabadiliko wa kupinga ukatili wapewa baiskeli 100 Kasulu

Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwenye jamii, wanamabadiliko wa masuala ya ukatili wa kijinsia wamepewa baiskeli ili waweze kuwafikia wahanga wa vitendo hivyo. Na Hagai Ruyagila Shirika la Kivulini kwa kushirikiana na shirika la Plan International chini ya ufadhili…

18 November 2025, 13:04

Vijana walia na vitendo vya ukatili Kigoma

Vitendo vya ukatili kwa vijana ni tabia au matendo yanayowadhuru kimwili, kihisia, kijinsia, au kijamii na ukatili huu unaweza kufanywa na watu wazima, wenzao, au hata mamlaka. Na Sadick Kibwana Vijana katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameiomba Serikali kuendelea kutoa…

27 October 2025, 12:24 pm

Msaidie mtu mwenye ulemavu siku ya uchaguzi

Ni wanachama wa umja wa watu wenye ulemavu Wilaya ya kaskazini “A” Unguja wakipatiwa mafunzo ya elimu ya mpiga kura Mkwajuni Wilaya ya kaskazini A: “Jamii ijitokeze kuwasaidia watu wenye ulemavu kwa kuwafikisha kwenye vituo vya kupigia kura ili wa…

16 October 2025, 3:07 pm

Rungwe iko salama kwa uchaguzi

ikiwa ni takwa la kikatiba wananchi wametakiwa kwenda kuwachagua viongozi wanao wataka siku ya uchaguzi mkuu RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Rungwe mkoani Mbeya kujitokeza kupiga kura ifikapo octoba 29.2025 kwa wote wenye sifa za kupiga…