Dodoma FM

Barabara

4 February 2025, 11:19 am

Maswa:kesi za mirathi,ardhi na ndoa zatawala wiki ya sheria

‘‘Hivi hatuwezi kumaliza migogoro ya ardhi,mirathi na ndoa kwenye jamii zetu sheria zinasemaje kwa mtu ambaye atafanya kesi za aina kama hiyo kama changamoto ni sheria zetu basi tuziboreshe  na kama ni elimu ndogo ya kisheria kwa wananchi wetu vyombo vinavyohusika…

27 January 2025, 4:00 pm

Ukarabati wa barabara warahisisha mawasiliano Majeleko

Utekelezaji miradi ya kilomita ishirini na tano kwa kiwango cha changarawe imesaidia kuunganisha Vijiji hivyo. Na Victor Chigwada.Ukarabati wa miundombinu ya barabara kutoka wilunze mpaka manzilanzi na Majeleko umesaidia kuleta unafuu wa mawasiliano katika vijiji vya kata ya Majeleko. Hayo…

23 December 2024, 8:36 pm

Wazazi wafelisha wanafunzi 213 elimu ya msingi mkoani Simiyu

“Pamoja na kwamba maandiko matakatifu yanasema kuwa mkamate sana elimu usimwache aende zake mshike maana yeye ni uzima wako Mithali 4:13 lakini wazazi wameendelea kuwa vikwazo kwa wanafunzi kutimiza ndoto zao”. Na, Daniel Manyanga Wanafunzi 213 walifanya mtihani wa kumaliza…

12 December 2024, 3:51 pm

Maswa:Ukatili wa kijinsia watajwa kupungua

Wadau na wanaharakati wa haki za binadamu Duniani  na Nchini Tanzania wameendelea na harakati za kuhakikisha kuwa usawa kwa wote unafikiwa,licha yakuwepo na wimbi la taarifa za ukatili wa kijinsia unaoripotiwa kwenye maeneo mengi Nchini na Duniani kwa ujumla. Na,…

18 November 2024, 08:44

Vuta nikuvute urejeshaji maeneo ya serikali Kigoma

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Kisena Mabuba amewahakikishia  madiwani wa Manispaa hiyo kuwa anasimamia kwa nguvu ili kuhakikisha maeneo ya wazi yanayomilikiwa na Manispaa yanapatiwa hati miliki ili kuepuka maeneo hayo kuvamiwa na watu wasio waaminifu. Na, Lucas Hoha…

25 October 2024, 4:29 pm

Wanandoa Tanga wahatarisha afya zao kisa mahusiano

Katika harakati za baadhi ya wanandoa wilaya ya Pangani mkoani Tanga kuhakikisha wanalinda mahusiano yao hulazimika kushiriki kinyume na maumbile ili kuwaridhisha wenzao wao. Ungana na msimulizi wetu Hamisi Makungu kupata kisa hicho ambapo utapata nafasi ya kuwasikia viongozi wa…

24 October 2024, 11:04 pm

Wanafunzi Masela sekondari wafundwa  elimu ukatili wa kijinsia

Jamii ya watanzania imeendelea kukumbushwa kuchukua tahadhari juu ya matukio ya ukatili wa kijinsia,kwakutoa taarifa nakuendelea kuwaelimisha watoto walio majumbani na wanafunzi ili kuwanusuru watoto hao na athari za ukatili wa kijinsia. Na,Alex Sayi. Wanafunzi wa shule ya sekondari Masela…