Dodoma FM

biashara

30 April 2021, 12:59 pm

Kushuka kwa bei ya mchele neema kwa walaji

Na; Salim Kimbesi. Imeelezwa kuwa kwa sasa bei ya mchele imeshuka sana sokoni kutokana na zao hilo kupatikana kwa wingi. Hayo yamesemwa na wafanyabiashara wa mchele walipo kuwa wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamesema mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi…

23 April 2021, 10:42 am

Uhaba wa Alizeti wachangia mafuta ya kula kupanda bei

Na; SALIM KIMBESI. Wafanyabiashara wa mafuta ya kupikia katika soko la Majengo jijini Dodoma wamesema kuwa uhaba wa zao la alizeti ndio umechangia bei ya bidhaa hiyo  kupanda. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wafanyabiashara hao wamesema kuwa, upatakanaji wa…

21 April 2021, 10:27 am

Vitunguu kupanda bei , baada ya msimu wake kwisha

Na; Tosha Kavula. Imeelezwa kuwa uchache wa zao la vitunguu sokoni hivi sasa, unasababishwa na msimu wake wa mavuno kupita. Wakizungumza na Dodoma Fm wafanyabiashara wa zao hilo katika soko la Majengo wamesema hali hii imechangia bei ya zao hilo…

20 April 2021, 12:42 pm

Wafanyabishara Soko la Majengo, “bei za bidhaa hazijapanda”

NA; RAMLA SHABAN Wakati wafanyabiashara wa viazi vitamu jijini Dodoma wakisema bei ya zao hilo haijapanda katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan,wanunuzi wengi wameendelea kulalamikia kupanda kwa bei hizo. Wakizungumza na Dodoma fm baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Majengo …

19 April 2021, 11:43 am

Serikali yaombwa kupunguza bei nishati mbadala

Na; Thadei Tesha. Gharama kubwa za nishati rafiki kwa mazingira ikiwemo gesi, zimetajwa kuchangia uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutozimudu. Hali hii imechangia wananchi wengi kuendelea kutumia nishati ya mkaa na kuni ambazo zinasababisha uharibifu wa mazingira. Wananchi…

16 April 2021, 9:57 am

Vifungashio mbadala ni changamoto kwa wafanyabiashara Majengo

Na; Shani Nicolous. Wafanyabiashara wa soko la majengo wamelalamikia kukosekana kwa vifungashio mbadala vilivyo elekezwa na Serikali vitumike . Akizungumza na Taswira ya habari  Mwenyekiti wa soko la Majengo Bw.Hamis Bomu amesema kuwa vifungashio mbadala vinavyo takiwa kutumika  havipatikani kwa…