Dodoma FM

biashara

14 April 2021, 8:05 am

TBS Yateketeza Bidhaa Zenye Thamani ya Milioni 19

Na ; Mariam Kasawa. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa hafifu za vyakula na vipodozi zenye thamani ya shilingi milioni 19 katika maeneo mbalimbali ya biashara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Kwa Mujibu  wa Meneja wa Shirika…

13 April 2021, 10:11 am

Wakazi wa Dodoma wametakiwa kutokuogopa kula mboga za majani

Na; Shani Nicolous. Kufuatia kutoaminika kwa mboga za majani zinazouzwa  katika masoko yaliyopo jijini Dodoma wafanyabiashara wa mbogamboga wamezungumza na kutolea ufafanuzi juu ya ubora wa mboga hizo. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wamesema kuwa mboga hizo zinalimwa sehemu…