biashara
9 July 2021, 11:44 am
Ukosefu wa Elimu ni kikwazo kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa Nchini
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa elimu na jinsi ya kupata soko kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa Nchini imetajwa kuwa changamoto hivyo kushindwa kuongeza mnyororo wa thamani. Hayo yamebainishwa na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa la wadau wa sekta ya kilimo Bw.…
22 June 2021, 1:58 pm
Serikali kuboresha vitambulisho vya wajasiriamali ambavyo hutolewa kwa kipindi c…
Na;Yussuph Hans. Serikali katika kuhakikisha wajasiriamali wadogo wanafanya biashara kwa uhuru, imesema inaendelea kuboresha vitambulisho vya wajasiriamali ambavyo hutolewa kwa kipindi cha mwaka mzima. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu na Naibu Waziri Ofisi…
3 June 2021, 2:13 pm
Jumla ya wakazi 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbol…
Na;Mindi Joseph. Jumla ya wananchi elfu 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbolea Nala jijini Dodoma huku wananchi wa eneo hilo wakitarajia kunufaika zaidi na uboreshwaji wa miundombinu ya umeme na maji. Taswira ya habari imezungumza na, Meneja wa Kituo…
2 June 2021, 9:55 am
Serikali yaweka mkakati wa kumaliza vikwazo vya biashara na Kenya
Na; Mariam Matundu. Serikali kupitia wizara ya viwanda na biashara imeweka mikakati ya kuhakikisha inamaliza vikwazo vya kibiashara kati ya nchi ya Kenya na Tanzania ili kuimarisha biashara kati ya nchi hizo mbili. Hivi karibuni kumekuwa na mikutano kati ya…
1 June 2021, 6:09 am
Wafanyabishara waiomba serikali kurahisisha usafirishaji wa mizigo
Na; Benjamin Suluwano. Wafanyabiashara wa soko la sabasaba wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ya kurahisisha usafirishaji wa mizigo kutoka soko la Job Ndugai kwenda sokoni . Wakizungumza na Dodoma fm baadhi ya wafanyabiashara wamesema wanaomba wapunguzie ushuru na serikali iongeze…
28 May 2021, 12:41 pm
TIRA yawataka wamiliki wa bima kuzingatia vitu muhimu
Na; SHANI NICOLOUS. Mamlaka ya usimamizi wa bima Tanzania TIRA wametoa wito kwa wamiliki wa bima kuzingatia vitu muhimu vinavyohitajika wakati wakileta madai yao ili kupatiwa huduma sahihi itakayosaidia kutatua madai hayo. Akizungumza na Dodoma fm Afisa mwandamizi wa bima…
25 May 2021, 11:20 am
Bei ya nguo za mitumba yashuka
Na; Tosha Kivula Bei ya nguo za mitumba imeendelea kuwa ya wastani ikilinganishwa na miezi kadhaa iliyopita.. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wanunuzi wa nguo hizo kwa bei ya reja reja wamesema bei hiyo imezidi kuwanufaisha ambapo kwa…
20 May 2021, 2:06 pm
Mradi wa Bomba la mafuta utasaidia kuongeza pato la Taifa .
Yussuph Hans Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan, amesema mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga utasaidia kuvuta Wawekezaji Ukanda wa Afrika Mashariki, kuongeza ajira pamoja na pato la Taifa. Amebainisha hayo…
18 May 2021, 7:58 am
Biashara ya ulezi yashamiri jijini Dodoma
Na; Ramla Shabani Baadhi ya wafanyabiashara wa ulezi jijini Dodoma wameelezea namna biashara hiyo inavyoshamiri kutokana na watumiaji wengi wa zao hilo wamesema kuwa zao la ulezi linatumiwa kwa wingi. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa watu wengi wanatumia…
17 May 2021, 1:22 pm
kujengwa kwa soko la kimataifa Kongwa kutaongeza fursa za ajira
Na; Benard Filbert Kujengwa kwa chuo cha kilimo pamoja na soko la mazao la kimataifa katika Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa imeelezwa itaongeza fursa nyingi za ajira kwa wananchi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata hiyo…