Chai FM

Habari za kitaifa

15 April 2022, 11:34 am

Ukosefu wa pembejeo pamoja na vikundi tazizo wakulima wa Parachichi

RUNGWE-MBEYA Mkuu wa wilaya ya Rungwe Dr.VICENT  ANNEY amefanya ziara ya kuwatembelea wakulima wa mapachichi kwa lengo la kujua changamoto zinazowakabili katika zao hilo. Wakulima zao la palachichi wa kijiji cha Ibungila kata ya Malindo wameeleza changamoto zinazowakabili katika zao…

3 April 2022, 6:24 am

Jamii itoe taarifa vitendo vya ukatili kwenye madawati

RUNGWE-MBEYA Taasisi isiyo ya kiserikali inayotekeleza mradi wa mwanamke imara WiLDAF imetaka jamii kutoa taarifa kwenye madawati ya kijinsia pindi vitendo vya ukatili vinapojitokeza katika jamii. kauli hiyo imetolewa wana Mwanasheria  SUZAN KAWANGA  pamoja na mwelimishaji  Ndg THOMAS  MPONDA  waliopokuwa…

22 March 2022, 8:47 am

Wanunuzi parachichi wafuate bei elekezi ya serikali

RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe MPOKIGWA MWANKUGA amewataka wakulima wa zao la parachichi kuuza zao hilo kwa kufuta bei elekezi iliyotolewa na serikali ya shilingi 1600 kwa kilo. Ametoa kauli hiyo alipo kuwa akitoa elimu kwa wananchi…

9 March 2022, 10:00 am

Siku ya wanawake duniani itumike kufikia jamii zenye uhitaji

RUNGWE-MBEYA NA:EZEKIEL KAPONELA Siku ya Mwanamke duniani leo imeadhimishwa katika Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe huku ikitolewa misaada mbalimbali kwa wahitaji. Katika maadhimisho hayo yaliyokwenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu”mamia ya wanawake…

22 February 2022, 8:41 am

Ubovu wa barabara kikwazo katika maendeleo

RUNGWE -MBEYA Wafanyabiashara pamoja na wakazi wa kijiji cha Mpandapanda kilichopo kata ya Kiwira wilayani Rungwe ambapo wameeleza namna wanavyoshindwa kufanya maendeleo ya kiuchumi kutokana na uharibifu wa miundombinu ya barabara. wakibainisha hayo baadhi ya wakazi pamoja na  wafanyabiashara wamesema…