Radio Tadio
26 September 2021, 11:15
Imeelezwa kuwa asilimia Arobaini ya vifo vya Watoto nchini vinatokana na watoto kuzaliwa kabla ya siku zao (Njiti). Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na maendeleo ya Jamii na Mbunge wa Jimbo la Maswa …
19 April 2021, 05:41
Na ; Mariam kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na mijadala inayoendelea bungeni ya kumlinganisha na mtangulizi wake, hayati John Magufuli. Akizungumza jana Jumapili Aprili 18, 2021 katika kongamano la viongozi wa dini, …