Radio Tadio

Uvuvi

5 December 2025, 09:05

Nyavu haramu 197 zateketezwa Uvinza

Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma Dinah Mathamani amesema wataendelea kufanya oparesheni ili kubaini na kukamata nyavu haramu zinazotumiwa na wavuvi ndani ya ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Serikali wilayani Uvinza imeziteketeza nyavu haramu 197 katika Kijiji cha Rubengela kata…

1 September 2025, 15:27

Wachakataji mazao ya uvuvi ziwa Tanganyika walia na masoko

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi na kuwapatia masoko. Na Kadislaus Ezekie Wananchi  mkoani Kigoma ambao wamejikita katika ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba kwa kufuga samaki aina ya sato wa Ziwa Tanganyika pamoja…

28 July 2025, 16:50 pm

Makala: Mabadiliko ya tabianchi na athari za uchumi

“Tunatoa wito wa kuchukua hatua za pamoja, utunzaji wa miundombinu, kuboresha miundombinu, kuwahamisha watu kutoka maeneo hatarishi na kuimarisha elimu ya tabianchi“ Na Musa Mtepa, Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri maisha ya Watanzania, hasa katika mikoa ya Kusini kama…

24 July 2025, 9:47 am

Kutojua gharama kikwazo sekta ya utalii Katavi

Kimori Chiwa askari muhifadhi kitengo cha utalii hifadhi ya Taifa Katavi. Picha na Anna Mhina “Tumeweka gharama ndogo ili kila mtanzania aweze kuja kufanya utalii” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba…

6 March 2025, 5:29 pm

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake. Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Jumanne Maseke mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Neruma kata…

10 January 2025, 5:12 pm

Wafanyabiashara Babati walalamika kuondolewa kwa vibanda vyao

Wajasiriamali wanaofanya  shughuli zao katika hifadhi ya eneo la barabara kuu mjini Babati mkoani Manyara wamesema serikali ingewashirikisha na kuwapa mda wa kutafuta maeneo mengine kabla ya kuwaondoa  kwenye maeneo hayo. Na George Agustino Kufuatia  zoezi la kuwaondosha wajasiriamali wanaofanya…

26 December 2024, 10:52 am

Prof. Lyala asherehekea Krismas na wafungwa Magu

Wakirsto ulimwenguni kote husherekea sikukuu ya kuzaliwa bwana yesu Kristo kila mwaka tar 25,ambapo pia hufanya matendo mbalimbali ya hisani kwa jamii. Na,Elisha Magege Prof.Edwinus Chrisantus Lyaya amekabidhi kitoweo cha Ng’ombe kwa wafungwa katika Gereza la Magu ili washerekee sikukuu…