Radio Tadio

Uvuvi

12 Januari 2026, 1:45 um

Wabunge Simiyu walia na ubovu wa miundombinu ya barabara

“Ndiyo kusema wakandarasi wanaojenga barabara za lami hawajui ni aina gani ya magari yanayotakiwa kutumia hiyo miundombinu au ndiyo kusema wanatimiza wajibu tu maana haiwezekani kila baada ya muda mchache tunaanza kuweka viraka hata barabara haijamaliza hata mwaka mmoja hapa…

Januari 5, 2026, 6:39 um

Walimu wakuu, tehama Mbozi wapata mafunzo ya SIS

Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA  ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information  System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…

5 Disemba 2025, 09:05

Nyavu haramu 197 zateketezwa Uvinza

Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma Dinah Mathamani amesema wataendelea kufanya oparesheni ili kubaini na kukamata nyavu haramu zinazotumiwa na wavuvi ndani ya ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Serikali wilayani Uvinza imeziteketeza nyavu haramu 197 katika Kijiji cha Rubengela kata…

1 Septemba 2025, 15:27

Wachakataji mazao ya uvuvi ziwa Tanganyika walia na masoko

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi na kuwapatia masoko. Na Kadislaus Ezekie Wananchi  mkoani Kigoma ambao wamejikita katika ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba kwa kufuga samaki aina ya sato wa Ziwa Tanganyika pamoja…

28 Julai 2025, 16:50 um

Makala: Mabadiliko ya tabianchi na athari za uchumi

“Tunatoa wito wa kuchukua hatua za pamoja, utunzaji wa miundombinu, kuboresha miundombinu, kuwahamisha watu kutoka maeneo hatarishi na kuimarisha elimu ya tabianchi“ Na Musa Mtepa, Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri maisha ya Watanzania, hasa katika mikoa ya Kusini kama…

24 Julai 2025, 9:47 mu

Kutojua gharama kikwazo sekta ya utalii Katavi

Kimori Chiwa askari muhifadhi kitengo cha utalii hifadhi ya Taifa Katavi. Picha na Anna Mhina “Tumeweka gharama ndogo ili kila mtanzania aweze kuja kufanya utalii” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba…

6 Machi 2025, 5:29 um

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake. Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Jumanne Maseke mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Neruma kata…