Utamaduni
5 Agosti 2025, 12:18 um
Wasimamizi wa uchaguzi kata watakiwa kufuata miongozo ya uchaguzi 2025
Ikiwa vyama vya siasa nchini vinaendelea na zoezi la kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo Udiwani,Ubunge na Urais Tume ya uchaguzi nayo inaendelea na zoezi la kuratibu wasimamizi wa uchaguzi nganzi za Kata na Jimbo. Na;Emmanuel Twimanye Wasimamizi wa uchaguzi…
30 Julai 2025, 7:08 um
RC Katavi: Katatueni kero za wananchi
Mkuu wa mkoa wa Katavi akitoa maelekezo kwa watumishi wa umma. Picha na Anna Mhina “Ninyi ni watumishi wa umma mnapaswa kutoa huduma bora kwa wananchi” Na Anna Mhina Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka maafisa tarafa…
4 Julai 2025, 1:50 um
Vijana 80 kulinda shamba la miti Silayo Chato
Kutokana na matukio ya uharibifu wa misitu nyakati za kiangazi TFS imeamua kuongeza nguvu ya ulinzi wa shamba la miti Silayo Na Mrisho Sadick: Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kupitia Shamba la Miti Silayo Wilayani Chato Mkoani Geita imetoa fursa…
18 Juni 2025, 2:43 um
Bifu la Mpina na Bashe, Rais Samia apigilia msumari
Maombi hayo kuyaleta mbele ya Rais ni kujitafutia umaarufu na kudhibitisha mbunge hakulifanyia haki jimbo lake ” Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Meatu-Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassani ameonyesha kukerwa na…
13 Juni 2025, 17:03
Serikali kuboresha sera na sheria kwa wenye ualbino
Serikali kuendelea kuboresha sera na sheria kuhusu watu wenye ualbino nchini. Na Kadislaus Ezekiel Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mahususi kuboresha mifumo ya Kisera na sheria katika kuboresha huduma…
9 Juni 2025, 16:30
Jamii yatakiwa kuwalinda watu wenye ualbino dhidi ya ukatili
Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuwalinda dhidi ya vitendo vya ukatili watu wenye ualbino huku wakitakiwa pia kuondokana na imani potofu za kishirikina kuhusu watu hao. Na Josephine Kiravu June 13 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya uelewa…
4 Juni 2025, 7:00 um
GGML yasisitiza utunzaji wa mazingira Geita
Utunzaji na usafishaji wa mazingira Manispaa ya Geita umendeelea kupewa nguvu na wadau mbalimbali ili kukabiliana na changamoto ya magonjwa ya milipuko. Na Mwandishi Ester Mabula: Kuelekea katika kilele Cha siku ya Mazingira duniani Mgodi wa GGML kwa kushirikiana na…
3 Juni 2025, 2:46 um
‘Mita tano usafi wangu, usafi wangu mita tano’ kuzingatiwa
Kilele cha wiki ya Mazingira Duniani hufanyika Juni 05 kila mwaka ambapo mwaka huu kaulimbiu ya siku ya mazingira ni mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa dhibiti matumizi ya plastiki. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa jiji la Dodoma wamehimizwa…
31 Mei 2025, 2:49 um
Wachafuzi wa mazingira kukiona cha moto Geita
Serikali wilaya ya Geita imesema haitawafumbia macho wananchi watakaobainika kuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na: Kale Chongela: Kauli hiyo imetolewa leo Mei 31, 2025 na mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba akiwa katika mtaa wa Mwatulole uliopo…
20 Mei 2025, 16:30 um
Wanawake viongozi wafunguka kuhusu nafasi zao katika siasa
Na Mwanaidi Kopakopa, Mwanahamisi Chikambu Wanawake walioko katika nafasi za uongozi wamesema kuwa nafasi wanazopewa kama madiwani au wabunge zinawajengea uwezo na kujiamini kugombea nafasi nyingine za juu za uongozi wa kisiasa. Katika makala haya, wanawake hao wameeleza kwa kina…