Utamaduni
5 May 2021, 11:09 am
wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya maji na barabara
Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…
30 April 2021, 9:36 am
WWF yaishukuru Serikali kwa kushiriki juhudi utanzaji wa Mazingira
Na; Benard Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…
21 April 2021, 10:04 am
NEMC yafanya operesheni vifungashio visivyo na ubora.
Na; Mindi Joseph. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kati Dodoma limefanya operesheni ya ukaguzi wa vifungashio visivyokidhi ubora sokoni na kukamata vifungashio takribani kilo 125 na kuvitaifisha. Akizungumza na taswira ya Habari baada ya kufanya ukaguzi huo…
19 April 2021, 1:23 pm
Changamoto ya Maji safi na salama kijiji cha Banyibanyi bado yakosa ufumbuzi
Na; Selemani Kodima Licha ya Jitihada mbalimbali kuendelea kufanyika ,Bado kijiji cha Banyi banyi wilayani Kongwa kimeendelea kukabiliwa na Changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama. Hili limeendelea kujiri baada ya Kupitia zaidi ya Mwezi mmoja tangu Uongozi wa…
19 April 2021, 12:19 pm
Ushirikiano watakiwa kukomesha wizi wa maji Dodoma
Na; Benard Filbert. Wenyeviti wa mitaa katika jiji la Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya maji DUWASA ikiwepo kutoa taarifa za watu wanaojiunganishia maji kinyume na sheria. Hayo yanajiri kufuatia agizo la mkuu wa Mkoa Dkt.Binilith Mahenge alilolitoa hivi…
16 April 2021, 11:13 am
Wadau wa mazingira waipongeza Serikali kwa hatua ya kutokomeza mifuko ya plasti…
Na; Mariam Matundu. Wadau wa mazingira wanasema wanafurahi kuona jitihada zao za kutaka kutokomezwa matumizi ya plastiki zinaendelea kufanikiwa kutokana na athari zake katika mazingira. Hayo yamesemwa na mdau wa mazingira kutoka taasisi ya Fudeco Bakari Mntembo na kuongeza kuwa…