Radio Tadio

Utamaduni

24/02/2026, 21:33

TFS yahimiza upandaji miti, 700 wafikiwa Chato

Hadi sasa jumla ya watu 700 wamefikiwa na huduma ya kupewa miche bure na TFS katika wilaya ya Chato mkoani Geita. Na: Ester Mabula Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency – TFS) umeendelea kuhamasisha jamii kupanda…

19/02/2026, 16:24

Wakazi walia na uharibifu wa mazingira

Viongozi wa eneo hilo wamelalamikiwa kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa uharibifu wa mazingira hayo. Na Steven Noel. WAKAZI WA Kitongoji cha Mcheula Kijiji cha Idilo kata ya Mazae wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wamelalamikia matokeo ya uharibifu wa mazingira  katika…

16/02/2026, 23:46

Je unajua yalipo mafanikio yako?

“Hapo mwanzo tulikuwa tumepanga lakini baada ya migogoro yetu kuisha tumejenga nyumba na tumenunua shamba.“ Na Cosmas Clement Uwezo wa wanandoa kushughulikia migogoro baina yao imetajwa kuwa chachu ya kuwawezesha kupiga hatua za maendeleo katika familia zao. Hayo yamesemwa na…

10/02/2026, 12:14

Nyumba zilizopanda miti Iyumbu zakabidhiwa vyeti

Amewasisitiza wananchi kuzingatia sheria ya kuzuia mifugo kuzurura ovyo mitaani kwnai inachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amekabidhi vyeti kwa kaya zilizofanya vizuri kwenye zoezi la upandaji miti nyumba…

30/01/2026, 14:29

Wananchi Mnase waomba elimu zaidi ya nishati safi

Picha ni Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akifungua  Baraza Kuu la 55 la Wafanyakazi wa TANESCO. Picha na Wizara ya Nishati. Serikali imeweka malengo ya kuhakikisha angalau 80 % ya kaya za Tanzania zinatumia nishati safi ya kupikia kufikia…

28/01/2026, 12:38

Wananchi wahimizwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti

Picha ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi akipanda mti katika shule ya msingi Mbwanga, jijini Dodoma. Picha na Lilian Leopold. Zoezi la upandaji wa miti limefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo shuleni, taasisi za umma na…

16/01/2026, 12:05

Kampeni ya kukijanisha Dodoma yawafikia wananchi Nala

Zoezi hilo ni sehemu ya kampeni kubwa ya serikali ya kuikijanisha Dodoma kwa kupanda miti. Na Lilian Leopold. Katika jitihada za kuufanya mkoa wa Dodoma kuwa wa kijani na kustawisha mazingira, zoezi la ugawaji wa miche ya matunda na kivuli…

07/01/2026, 16:48

Serikali Manyara yawataka wananchi kutovamia maeneo ya wazi

Serikali mkoani Manyara imewataka wananachi mkoani Manyara  kutovamia maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli maalum ili kuepuka migogoro ambayo imekuwa ikitokea. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Kamishna wa ardhi mkoa wa Manyara Wensilaus Mtui wakati…

05/01/2026, 18:39

Walimu wakuu, tehama Mbozi wapata mafunzo ya SIS

Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA  ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information  System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…