Radio Tadio

Utamaduni

3 December 2024, 11:56 am

Wakazi wa Bahi road walalamika kero ya maji taka

Hali hiyo inahatarisha usalama wa afya za wananchi katika eneo hilo. Na Waandishi wetu. Wananchi wa Mtaa wa Bahi Road Jijini Dodoma  wamepaza sauti zao juu mitaro inayotiririsha majitaka na chemba katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema…

2 December 2024, 9:43 am

Shule zatakiwa kuajiri mtaalam wa mazingira

Hayo yamejiri wakati wa mahafali ya 2 ya shule ya msingi na Awali ya English medium Bahi ambapo Wanafunzi 37 wamehitimu darasa la Awali na kutunukiwa vyeti Wavulana 16 na wasichana 21. Na Anselima KombaMkurugenzi Mtendaji Halimashauri ya Bahi Zaina…

28 November 2024, 10:30 am

Shule ya sekondari Bugalama wapanda miti 500 kutunza mazingira

Serikali na wadau mbalimbali wa mazingira wameendelea kuhamasisha jamii juu ya upandaji miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na: Kale Chongela – Geita Uongozi wa shule ya sekondari Bugalama iliyopo kata ya…

22 November 2024, 12:33 pm

Mradi wa taka rejeshi kuwanufaisha wakazi kata ya Chamwino

Wananchi wamepaswa kutambua kuwa chupa za plastiki ni mali hivyo si vema kuzitupa ovyo na kuharibu mazingira. Na Fred Cheti. Majaribio ya Mradi wa uchakataji chupa za plastiki umetajwa kuwanufaisha wananchi wa kata ya Chamwino amabao wengi wamepata ajira kupitia…

7 November 2024, 5:55 pm

Jitihada zaidi zahitajika kuteketeza taka za kieletroniki

Na Mariam Kasawa. Takribani tani  33, 000   za taka za kieletroniki huzalishwa nchini kwa mwaka na asilimia 3% tu ya taka hizo hukusanywa na kurejereshwa na kiwango kikubwa cha taka hubaki na kuzagaa katika mazingira. Bi Lilian Lukambuzi Mkurugenzi wa…

23 October 2024, 6:58 pm

Zifahamu athari za betri chakavu za magari

Na Mariam Kasawa. Betri chakavu za magari  zimetajwa kuwa na athari kubwa kwa viumbe na mazingira endapo hazitateketezwa katika utaratibu mzuri. Akizingumza katika wiki ya kujiondosha  na kuepukana na kemikali zinazotokana na betri chakavu Bi. Dora Swai katibu mtendaji kutoka…