Utalii
8 December 2024, 10:14 pm
Kuelekea miaka 63 ya uhuru Sengerema yafanya usafi hospitali ya wilaya
Hivi karibuni waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alielekeza maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania yafanyike Kwa ngazi za Mikoa na Wilaya, kwa kufanya shughuli za kijamii zikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira katika maeneo ya kijamii…
28 August 2024, 17:43
Wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya barabara Kyela
Mwenge WA Uhuru unaendeleaje kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika halmashauri ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya Na Hobokela Lwinga Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava Pamoja na timu yake ya Vijana Sita wamewaasa Wananchi hasa…
1 January 2024, 9:10 pm
Serengeti yaendelea kung’ara hifadhi bora barani Afrika
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imejipanga kuendelea kuboresha huduma mbalimbali ili kuwavutia watalii na kuifanya kuendelea kuwa hifadhi bora ya kwanza barani Afrika. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Kamishna Msaidizi wa Hifadhi Moronda B. Moronda…
28 December 2023, 18:13
Madiwani Wilaya ya Kyela watembelea vivutio vya utalii wilayani Rungwe Mbeya
Na Hobokela Lwinga Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe January Mwakasege (Mwenye suti nyeusi )amewaongoza Madiwani kutoka Wilaya ya Kyela kutembelea vivutio vya Utalii mbalimbali vinavyopatikana wilayani Rungwe. Madiwani kutoka Kyela wamefanya ziara hii ikiwa ni sehemu ya…
21 December 2023, 08:16
Kamati ya uongozi ya REGROW yaridhishwa na maendeleo ya mradi Mikumi
Na mwandishi wetu Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) imetembelea na kujionea utekelezaji wa Mradi huo, katika Hifadhi ya Taifa Mikumi na kuridhishwa na hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa…
21 December 2023, 08:09
Wadau waitikia wito wa wizara ya maliasili na utalii,makumbusho binafsi
Na mwandishi wetu,Iringa Wadau wa Malikale nchini wameendelea kuitikia wito wa Wizara ya Maliasili na Utalii wa kuanzisha Makumbusho binafsi ili kuhifadhi urithi wa Kihistoria wa Taasisi, Kabila au familia kwa maslai mapana ya kizazi cha sasa na kijacho. Akifungua…
16 December 2023, 4:04 pm
Esperanto waadhimisha kuzaliwa Dr. Zamenhof kwa kutembelea pori la Akiba Kijeres…
Wanafunzi 34 wa shule ya Sekondari Esperanto wakiwa wameambatana na walimu na viongozi wengine wa jumuiya ya Esperanto watembelea pori la Akiba Kijereshi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho kuzaliwa mwanzilishi wa lugha ya Esperanto. Na Edward Lucas Wanafunzi wa shule…
4 December 2023, 1:50 pm
Utalii wa ndani umeongezeka kwa 159%
Elimu ya utalii imeendelea kuwaingia wananchi hali ambayo imekuwa ikichochea ukuaji wa utalii wa ndani kwa kasi. Na Mrisho Sadick – Geita Idadi ya utalii wa ndani imeongezeka kwa asilimia 159 mwaka 2023 huku wananchi wakihimizwa kuendelea kutembelea nakuwekeza kwenye…
2 December 2023, 8:32 pm
Bodi ya Utalii Kanda ya Kusini kufanya royal tour Christmas
Na Hafidh Ally BODI YA UTALII KANDA YA KUSINI KUFANYA ROYAL TOUR CHRISTMAS MBUGANI. Bodi ya Utalii Tanzania, Ofisi ya kanda ya Kusini kwa kushirikiana na wadau wa Utalii imeanza kampeni yake maalumu ya kuhamasisha utalii wa ndani iliyopewa jina…
28 November 2023, 1:18 pm
Bilioni 1.4 kujenga kiwanda cha kuzalisha vifaranga vya samaki Chato
Kutokana na ukuaji wa uzalishai wa zao la samaki, serikali imetenga bajeti kwaajili ya ujenzi wa kiwanda. Na Mrisho Sadick- Geita Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetenga kiasi cha zaidi ya Bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa…