Uhuru
20 May 2025, 5:08 pm
UVCCM Maswa kuwaunga mkono vijana uchaguzi mkuu
‘‘Vijana ni nguvu kazi ya taifa hili hatupaswi kabisa kuwa tunalalamika kulingana na viongozi wetu ambao tuliwaamini tukawapa kura za kuwa wawakilishi wetu kwenye vyombo vya maamuzi kwa sheria za nchi hii unaruhusiwa kugombea udiwani,ubunge kuanzia miaka 21 hivyo vijana…
8 April 2025, 20:09
Auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za wizi Mbeya
Vijana wengi wamekua wakipoteza maisha kutokana na kujihusianisha na vitendo vya kihalifu ambavyo wamekuwa wakifanya kwa kizingizio cha ukosefu wa ajira. Na Hobokela Lwinga Mkazi mmoja wa Iganzo, Vincent Jafari (21), amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye…
1 April 2025, 11:58 am
Utekelezaji wa ahadi za kampeni uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Kipindi hiki kinaangazia hali ya utekelezaji wa ahadi zilizotolewa wakati wa Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia kwa Bi Lukia Mnyachi Mwenyekiti wa kijiji cha Nyengedi ambae ni mwanamke pekee aliyefanikiwa kupata kuwa mwenyekiti wa kijiji kwa kata…
13 March 2025, 10:38
Jiji la Mbeya kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi
Kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025 halmashauri mbalimbali nchini zimeanza kujadili ugawaji wa majimbo ili kurahisisha utendaji kazi. Na Hobokela Lwinga Baraza la madiwani la halmashauri ya jiji la Mbeya limepitisha kwa kauli moja azimio la kuligawa jimbo la Mbeya mjini…
3 March 2025, 09:22
George ajiua kwa sumu kisa madeni ya vicoba vya mke wake ,Mbeya
Wanandoa mara zote huwa wanashauri kushirikiana pamoja katika maamuzi,hali hiyo imekuwa tofauti kwa ndoa za sasa. Na Ezekiel Kamanga Kijana George Arubati (29) mkazi wa mtaa wa Kanda ya Juu, kata ya Iduda jijini Mbeya amefariki dunia baada ya kudaiwa…
23 February 2025, 11:11 am
Shekhe Mkuu Mtwara awataka wananchi kutunza amani kuelekea uchaguzi
Mkutano wa hadhara wa shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ulikuwa hitimisho la ziara yake aliyoifanya katika kata ya Magomeni ,ambapo kabla ya mkutano huo alitembelea miradi mbalimbali ya kijamii ikiwemo Zahanati ya magomeni,Shule ya sekondari makanledi,Ujenzi wa Msikiti Muzdalifa…
22 February 2025, 06:09
Kurasa za magazeti leo 22 Februari 2025
Zifahamu habari zilizo pewa nafasi kubwa katika krasa za magazeti Tanzania
13 February 2025, 13:42
Kabudi ataka vyombo vya habari kuzingatia ufasaha wa lugha ya kiswahili
Kulingana na mchango wa vyombo vya habari katika maendeleo ya nchi,TCRA imewakutanisha wadau kujadili na kujifunza mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi Mkuu 2025. Na Charles Amlike,Dodoma Waziri wa habari,utamaduni,Sanaa na michezo Prof.Paramagamba Kabudi amevitaka vyombo vya habari viache kubananga lugha ya…
29 January 2025, 16:34
TAKUKURU Mbeya yarejesha zaidi milioni 15 kwa wasafirisha sampuli za binadamu
Jukumu la kupambana na kuzuia Rushwa si la taasisi ya TAKUKURU pekee bali kila mwananchi anao wajibu wa kutoa taarifa za Rushwa pindi anapobaini mianya katika eneo alilopo. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa…
17 January 2025, 10:52 am
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi yafanya kikao na Wadau wa Uchaguzi Mkoani Mtwara
Hii inalenga kutoa elimu ya ujiandikishaji na hamasa kwa Wananchi kushiriki katika zoezi la kujiandikisha na uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara. Na Mwanahamisi Chikambu Tume huru ya…