Uchumi
20 June 2025, 8:07 pm
NGOs zatakiwa kufanya kazi kwa kufuata utaratibu
Uwepo wenu ni chachu kubwa ya maendeleo tunazo NGO’s zisizopungua 48 zingine hazitambuliwi. Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mashirika yasiyo ya kiserikali Wilaya ya Kilombero wamekutana leo katika kikao cha Jukwaa hilo kujadili tathmini ya mchango wao kwa Serikali na jamii,…
27 May 2025, 4:03 pm
Maonesho ya biashara na viwanda yakuza uchumi Kilolo
Maonesho ya Biashara na Viwanda yaliyofanyika Wilaya ya Kilolo yameonesha kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta hizo ili kukuza soko. Na Joyce Buganda Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Mhe. Rebecca Nsemwa Sanga amewapongeza chemba ya biashara viwanda na Kilimo TCCIA…
22 May 2025, 5:00 pm
Wilaya ya Kati kinara matukio ya ukatili wa kijinsia Zanzibar
Berema Nassor. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema idadi ya matukio ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa mwezi Aprili yameongezeka kwa asilimia 30.8 hadi kufikia matukio 102 kwa mwezi wa April 2025 kutoka matukio 78 kwa mwezi…
4 April 2025, 8:21 pm
I.P.I yajizatiti kulinda amani kwenye uchaguzi
Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda nchini wananchi wametakiwa kuungana pamoja kudumisha na kulinda amani wakati wa uchaguzi huo Na Theophilida Felician. Taasisi ya umoja wa amani kwanza nchini I.P.I imeeleza kuwa katika kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu wa…
30 March 2025, 8:46 pm
Afariki kwa kupigwa kichwani Hanyengwa mchana
Na Mary Julius. Jeshi la Mkoa wa kusini unguja limesema mtu mmoja, amefariki dunia kwa kupigwa na kitu butu kichwani huko Hanyengwa, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.Akizungumza na zenji fm Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kusini Unguja…
27 March 2025, 1:58 pm
Mtoto wa miaka 14 ambaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu
Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti.Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa…
20 March 2025, 1:23 pm
DC Gidarya: Wananchi wa Ipililo tunzeni huu mradi wa maji
Baada ya Serikali kujenga Mradi na kuukadhi kwenu, Jukumu la kuulinda na Kuutunza ni lakwenu wananchi wenyewe , hivyo niwaomba wananchi wa Ipililo lindeni miundombinu ya Maji katika Mradi huu, asitokee mwananchi mmoja akaja kukata mabomba halafu nyie mnamuangalia tu.…
17 January 2025, 9:23 am
Miundombinu mibovu Mpanda stendi kero kwa madereva
“Changamoto wanayoipata madereva ni uwepo wa mashimo ndani ya stend hiyo hali inayopelekea uharibifu wa magari yao“ Na Samwel Mbugi-Katavi Madereva wanaofanya shughuli zao katika stand ya zamani manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya stend…
16 January 2025, 1:09 pm
DC Magembe atangaza vita dhidi ya ‘chagulaga’
Wananchi wamesisitizwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili kutokomeza utamaduni huo. Na Zaituni Juma Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Cornel Magembe amekemea vikali utamaduni wa baadhi ya wanaume kuwalazimisha wasichana wadogo kuingia nao kwenye mahusiano ya kimapenzi maarufu kama…
16 August 2024, 8:46 pm
DC Bunda azindua maktaba Esperanto sekondari
Dkt Vicent Naano Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wanafunzi kutumia vitabu hivyo kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amezindua maktaba shule ya sekondari…