
Siasa

23 March 2025, 12:24 pm
Anayedaiwa kuchoma moto kiganja cha mtoto wake atiwa mbaroni
Mwanamke aliyedaiwa kumchoma mwanae kiganja cha mkono kwenye jiko la mkaa atiwa mbaroni wananchi wataka kumshushia kipigo. Na Adelinus Banenwa Ni Neema Musimu John mkazi wa mtaa wa Mapinduzi kata ya Bunda mjini mkoani Mara ambaye inadaiwa kumchoma moto kwenye…

21 March 2025, 7:31 pm
RUWASA watoa msaada kwa wafungwa magereza ya Kasungamile
Kila mwaka Machi 22 huwa ni Siku ya Maji ambayo huadhimishwa kimataifa kutokana na na Azimio Na. 47/193 la Umoja wa Mataifa (UN), ambapo Wakala wa Maji Vijijini RUWASA wialayani Sengerema umetoa msaada kwa wafungwa na kupanda miti kwenye vyanzo…

February 10, 2025, 5:40 pm
Mbaroni kwa kuiba mtoto wa siku 1 Kahama
Wanawake kuwa makini na watu wanaojitokeza kama ndugu au marafiki baada ya kujifungua kufuatia uwepo wa matukio mengi ya wizi wa watoto na kutoa rai kwa wananchi kuwa wizi wa watoto ni kosa la jinai na hatua kali za kisheria…

31 January 2025, 4:12 pm
Mkurugenzi TECTO community aelezea fursa za ajira kupitia utalii kanda ya ziwa
“Kanda ya ziwa inavivutio vingi vya utalii mbavyo ni fursa Katika kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini” Na Catherine Msafiri, Mkurugenzi wa TECTO community company Bw.Juma Elias Elias ameeleza kuwa Kanda ya ziwa Kuna fursa nyingi zinazowezakupunguza tatizo la…

31 December 2024, 14:25 pm
Mila, desturi katika jando na unyago kwa watoto Mtwara
Na Mwanahamisi Chikambu na Gregory Millanzi Jando na Unyago ni mila na desturi muhimu zinazopatikana katika jamii nyingi za Tanzania na Afrika Mashariki. Sherehe hizi za mpito ni sehemu ya mchakato wa kuwafunda vijana wanaoingia utu uzima. Jando:Sherehe hii…

19 December 2024, 4:35 pm
Sotta Mining Sengerema kuanza ujenzi January 2025
Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga-Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025. Na;Elisha Magege Wananchi wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazokuja kutokana na mgodi wa Sotta Mining Ltd unaotarajia…

18 November 2024, 9:00 pm
Manyara kuanzisha kliniki ya madaktari bingwa
Mkoa wa Manyara unatarajia kuzindua zoezi la utoaji Huduma za kliniki maalamu za Madaktari Bingwa wa Ndani ya Mkoa Wa Manyara Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema mkoa wa Manyara umeanzisha kliniki ya kwanza ya…

13 October 2024, 12:01 pm
Mavunde awatuliza wananchi mgodi wa Sota Sengerema
Mgodi wa dhahabu wa SOTA GOLD Mining uliopo kata ya Igalula wilayani Sengerema mkoani Mwanza unatarajiwa kuanza uzalishaji mwakani 2025, ambapo kwasasa wameaanza madalizi ya ujenzi wa Mgodi huo,ikiwemo kuwahamisha wananchi wenye maeneo yanayo pakana na eneo la mgodi huo.…

9 October 2024, 9:48 am
Watishia kufunga barabara kutokana na mwendokasi wa bodaboda
Matukio ya ajali zinazosababishwa na mwendokasi wa baadhi ya madereva yawakera wananchi waishio maeneo ya Msufini mtaa wa Msalala road mjini Geita. Na: Amon Mwakalobo – Geita Baadhi ya wananchi wa maeneo ya Msufini Mtaa wa Msalala Road Halmashauri ya…

7 October 2024, 9:52 am
Wananchi wahofia kupita daraja la Katundu nyakati za usiku
Uwepo wa daraja la Katundu ambalo linatumiwa na wananchi mbalimbali umepelekea hofu kwa baadhi ya wananchi kutokana na baadhi ya vijana kukaa hasa nyakati za usiku. Na: Amon Mwakalobo – Geita Baadhi ya wananchi halmashauri ya mji wa Geita wanaoutumia…