Radio Tadio

Nishati

25 Mei 2021, 12:10 um

Wakazi wa kata ya makulu walalamikia kukosa huduma ya barabara

Na; Ramla Shabani Wananchi wa Mtaa wa Njedengwa Magharibi Kata ya Makulu  jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea daraja pamoja na kuwakarabatia barabara za mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa korongo linalopita mtaani hapo limekuwa likisababisha…

25 Mei 2021, 11:30 mu

Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu

Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…

24 Mei 2021, 10:16 mu

Wizi wapelekea wakazi wa Makulu kuishi bila amani

Na; Benjamin Jackson.   Wakazi wa kata ya Makulu Jijini Dodoma wamelalamikia eneo hilo kukumbwa na wimbi la wizi hali inayopelekea wananchi kukosa amani katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao  wamesema tatizo la wizi katika eneo hilo limekuwepo…

19 Mei 2021, 1:26 um

Wanawake waaswa kutokukata tamaa mitazamo hasi

Na; James Justine Jamii imetakiwa kutokuwa na mitazamo hasi kwa mambo mbalimbali wanayoyafanya wanawake katika kujiletea maendeleo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza na Taswira ya habari mkurugenzi wa kikundi cha akinamama kinachojihusisha na kuwainua wanawake jijini Dodoma (WOMEN OF POWER) …

19 Mei 2021, 8:13 mu

Wazazi waaswa malezi bora ya watoto

Na; Tosha Kavula Jamii imetakiwa kufanya kazi pamoja katika kuhakikisha watoto wanapata malezi ya wazazi wote wawili kutokana na kuongezeka kwa wimbi la watoto kubadilika tabia.. Ushauri huo umetolewa na baadhi ya wazazi jijini hapa wakati wakizungumza na Dodoma Fm…

17 Mei 2021, 12:26 um

Zaidi ya Bil.635 zatengwa ujenzi wa barabara nchi nzima

Na; Yussuph Hans Zaidi ya shilingi Bilion 635 kutoka Mfuko wa Barabara zimetengwa kwa ajili ya matengezo ya Barabara Nchini kwa kipindi cha Mwaka 2021/22. Hayo yamebainishwa leo bungeni na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mh Leonard Madaraka Chamuriho wakati…