Radio Tadio

Maji

19 Novemba 2025, 11:00 mu

DC Maswa ataka uzalendo kwa watumishi wa umma

“Kwa nini kila kukicha tunaimba uzalendo uzalendo kwa watumishi wa umma nini kimekosekana mpaka tunaanza kukumbushana kwani wao hawajui maana ya neno la uzalendo au wao wanalijuwa kulisoma tu lakini kwenye vitendo ni hakuna ukiona hivyo juwa kuna kitu hakipo…

18 Novemba 2025, 12:25 um

DC Anney watumishi wa halmashauri tunzeni jengo

“Uzuri wa jengo kipya la makao makuu ya halmashauri ya wilaya ya Maswa ukatoe utendaji mzuri kwa watumishi wa umma katika kuwahudumia wananchi ili kutoa tafsiri sahihi ya uzuri wa jengo na kuleta tabasamu kwa wakazi wa wilaya”. Na,Daniel Manyanga …

17 Novemba 2025, 12:31 um

6 Desemba kubadili mitazamo ya wanawake Katavi

“Matukio haya yote yanalenga kumsukuma mwanamke kuleta mafanikio” Na Anna Millanzi Uongozi wa Katavi Worth Women umezindua msimu mpya wa kutoa hamasa kwa wanawake na kuwakutanisha pamoja ili kuendelea kupeana maarifa ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza na Waandishi wa habari na…

11 Novemba 2025, 11:23 mu

DC Anney watumishi wa afya fanyeni kazi kwa weledi

“Hakuna maendeleo ya vitu bila watu ndiyo maana sasa duniani kote wanapambana sana kuleta ustawi wa afya za watu wakijuwa kabisa kwamba watu wakiwa na afya imara hata uchumi nao utakuwa kwa kasi kwa sababu tu wananchi wake wako na…

11 Novemba 2025, 10:43 mu

Kondoo, mbuzi 33 wauliwa na chui Simiyu

“Tulianza na matukio ya  Fisi kushambulia mifugo ya wananchi katika baadhi ya maeneo mkoani Simiyu na sasa hivi Chui nao wanapita mule mule kuwatia hasara wananchi kwa akili yangu tu ndogo najiuliza hizi hasara nani anazilipa maana kama kuna mamlaka…

10/11/2025, 16:24

Makala: mabinti wa Mtwara wavunja ukimya

“Wasichana wanajifunza kwamba sauti yao ina thamani, na kwamba wao pia wana nafasi muhimu katika jamii hasa mabinti wa Mtwara” Na Mwanahamisi Chikambu Katika dunia ya sasa inayokua kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, bado mtoto wa kike wa…

23 Oktoba 2025, 5:10 um

Zaidi ya mil.156 zatolewa kwa wajasiriamali Itilima

“Tunataka kuwa na wananchi wenye uchumi himilivu katika taifa hili ili kusaidia kupunguza umasikini uliokithili,kupunguza vifo vitokanavyo na watu kukosa pesa ya kujikimu kimatibabu ikuwa pamoja na kuondoa changamoto ya wimbi la watoto mitaani”.  Na,Daniel Manyanga  Zaidi ya milioni 156…

22 Oktoba 2025, 2:46 um

Leseni ya udereva, Paspoti na NIDA kumchagua kiongozi

“Kuchagua kiongozi unayemtaka ni takwa la kikatiba katika kuleta maendeleo kwenye eneo husika ndiyo maana sasa unapofika uchaguzi tunawataka wananchi waweze kuitumia hiyo haki ya kuchagua kiongozi wamtakao wenyewe”. Na,Daniel Manyanga  Wilayani Maswa mkoani Simiyu imeelezwa kuwa wale wote waliopoteza…