Radio Tadio

Maji

4 April 2023, 5:49 am

Wananchi Kayenze Walia Ucheleweshwaji wa Mradi wa Maji

KATAVI Wananchi wa Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi wameiomba serikali kumhimiza mkandarasi anayejenga mradi wa maji kukamilisha mradi kwa wakati. Wananchi Kwa nyakati Tofauti wameiambia Mpanda radio kuwa kumekuwa na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi…

20 March 2023, 3:07 pm

Wananchi walalamika kutumia maji yasiyo salama

Wakazi walalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na salama baaada ya kuharibika kwa mashine ya kusukuma maji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Chinugulu wilayani chamwino wamelalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na…

1 March 2023, 5:14 pm

Nzelenze waiomba serikali huduma ya maji safi na salama

Hatua za kukabiliana na changamoto ya maji vijijini bado zinaendelea  ili kuondokana na matumizi ya maji yaliyo tuama na visima vifupi  ambayo ni hatari kwa afya za binadamu. Na Victor Chigwada                                                               Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya…

28 February 2023, 4:58 pm

Uzalishaji wa maji Dodoma waongezeka kwa asilimia 6.3

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira imefanikiwa  kupunguza upotevu wa maji kutoka wastani wa asilimia 39.1 na kufika asilimia 28.3 Disemba  mwaka 2022. Na Selemani Kodima . Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoani Dodoma DUWASA imetaja…

18 February 2023, 10:07 pm

Waziri mkuu ashuhudia utiaji saini Mradi wa Maji vijiji 55

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji utakaogharimu takribani shilingi bilioni 120 unaotekelezwa katika vijiji 55 vya wilaya za Ruangwa (vijiji 34) na Nachingwea (vijiji 21) mkoani Lindi. Amesema mradi huo ambao…