Radio Tadio

Kilimo

12 November 2023, 12:18 pm

Wakulima Kibokwa watakiwa kupisha uwekezaji

Picha ya waziri wakilimo na umwagiliaji Shamata Shame (aliye nyoosha kidole)akiwa katika kikao na wakulima wa bonde la mpunga kibokwa. Na Abdul – Sakaza. “Ushirikishwaji kati ya serekali na wakulima katika harakati za kimaendeleo kutasaidia kutatua changamoto mbalimbali hasa linapokuja…

8 November 2023, 8:10 pm

Wakulima Kagera watakiwa kupanda miti ya matunda kwa wingi

Na Jovinus Ezekiel Serikali mkoani Kagera imepongeza jitihada zinazoendelea kutekelezwa na taasisi ya KADERES inayohudumia wakulima katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kwa kuanzisha mafunzo ya kilimo na uzalishaji wa miche ya miti rafiki kwa mazingira kwa ajili ya kuendeleza…

31 October 2023, 11:49 am

Wakulima Wagomea mbolea ya Ruzuku

Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Chinangali 2 Mkoani Dodoma wamegoma Kujisajili kuchukua mbolea za ruzuku zinazotolewa na Serikali kutokana na kile wanachodai zinaua Mashamba yao. Hayo yamebainika baada ya Dodoma Tv kufika eneo hilo na kuzungumza…

31 October 2023, 11:21 am

Wakulima wa mpunga Bahi wailalamikia tume ya umwagiliaji

Wakulima hao wanasema pamoja na kufuatilia kwa muda mrefu, bado tume ya umwagiliaji  haijaonyesha ushirikiano katika kutatua kero hiyo. Na.  Bernad Magawa Wakulima wa mpunga wilayani Bahi Wameilalamikia tume ya umwagiliaji kwa kushindwa kuwarekebishia miundombinu ya kilimo kwa miaka miwili…

18 October 2023, 9:29 am

FAO yaahidi kuunga mkono juhudi za Tanzania

Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka nchi wanachama, viongozi wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa. Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za…

11 October 2023, 14:34 pm

Zao la mwani Mtwara ladoda, wakulima walilia soko

Zao la mwani limekuwa zao jipya katika mkoa wa Mtwara ambapo wanawake wanaoishi kata ya Msangamkuu wamechangamkia fursa hiyo ya kilimo cha mwani na sasa hawana soko la kuuza zao hilo. Na Musa Mtepa Wakulima wa zao la mwani wa…