Jamii
25 Machi 2026, 09:45
PAC: Serikali imarisha miundombinu ya mawasiliano
Wananchi wametakiwa kutumia fursa hiyo ya kiteknolojia kujikwamua kiuchumi na kulinda miundombinu hiyo dhidi ya uharibifu. Na Mariam Kasawa Serikali imetakiwa kuendelea kuimarisha usimamizi wa miundombinu ya mawasiliano nchini ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa vijijini.…
23 Machi 2026, 18:18
Mabinti 18 wanaoishi mazingira magumu Kahama wafadhiliwa masomo
Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya mabinti 18 wanaoishi katika mazingira magumu halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamepatiwa ufadhili na serikali kusomeshwa katika elimu ya ufundi VETA kwa fani mbalimbali, ikiwemo ufundi cherehani na ususi. Akizungumza wakati wa kuwaaga…
20 Machi 2026, 21:18
Wanawake Kahama mguu sawa tuzo za ‘mwanamke mjasiriamali’
”Wajasiriamali wa wilaya ya Kahama, changamkieni fursa kupitia jukwaa la Mwanamke Mjasiriamali” Sebastian Mnakaya Wanawake wajasiriamali wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamezindua jukwaa lao la Mwanamke Mjasiriamali kwa lengo la kusaidiana katika shughuli zao za kujipatia vipato pamoja na mikopo isiyokuwa…
18 Febuari 2026, 16:55
TCRA yaimarisha dawati la huduma kwa wateja
Changamoto na mapendekezo yao kwa haraka zaidi, huku mifumo ya kidijitali ya ufuatiliaji ikihakikisha mawasiliano yanakuwa ya wakati na yenye tija. Na Yussuph Hassan.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeimarisha Dawati la Huduma kwa Wateja pamoja na mifumo ya ufuatiliaji wa…
02/02/2026, 18:57
RC Songwe azindua gari SORECU
Hafla ya uzinduzi na kukabidhi gari ya SORECU. Na Devi Moses MKUU wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Makame, amezindua na kukabidhi gari la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU), lililonunuliwa kwa fedha za chama hicho, katika hafla…
30 Januari 2026, 17:32
Airtel yazindua minara mitano mipya nchini
Airtel Tanzania inaendelea kuipa kipaumbele upanuzi wa mtandao kama sehemu ya dhamira yake ya kukuza ujumuishi wa kidijitali, kuhakikisha wananchi wote nchini wanapata huduma za simu na intaneti zenye uhakika, gharama nafuu, na ubora wa juu. Na Bennard Komba Kampuni…
16 Januari 2026, 15:27
Vodacom kutoa kipaumbele kwa wenye mahitaji maalum
Besiimire amesema duka hilo ni mkombozi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani iliyo katika Kanda ya Kati kutokana na kuboreshwa kwa huduma zake. Na Yussuph Hassan. Kampuni ya Mtandao wa Simu ya Vodacom imesema imejipanga kuhakikisha inatoa…
18 Disemba 2025, 14:28
Kigoma Ujiji, Makamba kucheza fainali kombe la ujirani mwema Burundi
Mashindani ya ujirani mwema baina ya timu kutoka Mkoani Kigoma Tanzania na Burundi kukutana fainali Na Mwandishi wetu Timu ya Kombaini ya Makamba ya nchini Burundi na Timu ya Kombaini ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ya mkoa Kigoma nchini Tanzania…
16 Disemba 2025, 13:15
Kibondo, Uvinza zatolewa mashindano ya ujirani mwema Burundi
Mashindano ya ujirani mwema yaliyokuwa yanaendelea katika Wilaya ya Makamba Nchini Burundi Timu kutoka Mkoa wa Kigoma Tanzania zimetolewa kwa kipigo Na Mwandishi wetu Burungu, Burundi Timu za wachezaji mchanganyiko za wilaya za Kibondo na Uvinza za mkoani Kigoma nchini…
12 Disemba 2025, 9:24 mu
Millya amemteua Ole Njidai kuwa katibu wa ofisi ya mbunge ukanda wa Terrat
Picha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki na mbunge wa jimbo la simanjiro…