Radio Tadio

Habari

9 December 2023, 3:49 pm

DC Naano apongeza usimamizi wa miradi Bunda

Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr Vicent Aney Naano ameipongeza halamashauri ya wilaya ya Bunda kwa usimamizi mzuri wa miradi inayotekelezwa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr Vicent Aney Naano ameipongeza halamashauri ya wilaya ya Bunda kwa…

30 November 2023, 22:27

Kisa Simba, Yanga bodaboda Kyela wasogeza mbele uchaguzi

Uchaguzi wa kuwapata viongozi wa umoja wa bodaboda Kyela uliopangwa kufanyika Disemba 2, 2023 umesogezwa mbele mpaka Disemba 8, 2023. Na Nsangatii Mwakipesile Mwenyekiti wa uchaguzi wa waendesha bodaboda wilayani Kyela Widrey Mwasyeka ametangaza kusogezwa mbele uchaguzi wa chama hicho…

November 17, 2023, 6:53 pm

Watumishi 5 wafukuzwa kazi halmashauri ya Makete

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Makete Mh. Christopher Fungo pamoja na viongozi wengine katika kikao cha baraza la madiwani. Picha na Ombeni Mgongolwa Ili kuhakikisha maendeleo kwa wananchi yanawafikia hususani viongozi nao kuwajibika katika nafasi zao imeonesha utoro kwa baadhi…

17 November 2023, 10:02 AM

CCM Mtwara yakagua miradi ya maendeleo Masasi

Masasi Kamati ya Chama Cha Mapinduzi {CCM} mkoa wa Mtwara, imefanya ziara ya kikazi wilayani Masasi kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. Ziara hiyo imeongozwa na katibu wa chama ngazi ya mkoa David Molle, ambapo  walitembelea…