Habari
23 January 2024, 8:43 am
Mamba waendelea kuleta maafa Buzimbwe
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kulwa Mafwimbo 46 mkazi wa kijiji cha Buzimbwe ameshambuliwa na mamba wakati akioga ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kulwa Mafwimbo 46 mkazi wa kitongoji cha Majengo kijiji cha…
18 January 2024, 9:29 AM
Hokololo, NBS watoa mafunzo kwa watendaji Mtwara
MASASI Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mtwara kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, AGNES HOKOLOLO , amewataka viongozi walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo kutoka Tume ya Taifa ya Takwinu NBS kuyatumia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo…
17 January 2024, 10:22
Msichana miaka 15 adaiwa kubakwa na mjomba wake Kigoma
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu Ni binti Zulekha Hussein sio…
15 January 2024, 3:52 pm
Simanjiro: Terrat waomba muda zaidi ujazaji fomu za maombi ya NIDA
Zoezi la siku tatu la ujazaji fomu za kuomba namba za Kitambulisho cha Taifa-NIDA limekamilika katika kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro huku wananchi wengi wakishindwa kujaza fomu hizo kutokana na msongamano. Na Joyce Elius. Zoezi hilo la ujazaji wa…
14 January 2024, 20:01
Mamba mla watu auawa Mtera Iringa
Na Moses Mbwambo, Iringa Hivi karibuni Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego, Kuingia kazini kusaka Mamba leo Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania Tawa kwa Kushirikiana na Wananchi wa Kata ya Migoli Halmashauri ya…
9 January 2024, 11:38 pm
Wananchi wahimizwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa
Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika mwaka huu huku wananchi wakiendelea kusisitizwa suala la kushiriki katika kuchagua viongozi sahihi. Na Thadei Tesha. Mkuu wa wilaya ya Dodoma mh. Jabir Shekimweri amewataka wananchi jijini Dodoma kushiriki kikamilifu…
8 January 2024, 14:11
NDC Mbeya yapokea wanafunzi toka nchi nne
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera leo Januari 08, 2024 amekutana na wanafunzi kutoka Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi NDC waliofika mkoani Mbeya kwa lengo la kuendeleza mafunzo yao kwa njia ya vitendo. Ziara…
8 January 2024, 7:23 am
RC Mtanda awataka Nyatwali kuendelea na shughuli zao
Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka wakazi wa Nyatwali kuendelea na shughuli zao za kawaidi huku serikali ikiendelea kufanya ufuatiliaji wa wao kuhama. Na Adelinus anenwa Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka…
3 January 2024, 12:30
Mashirika, wananchi watakiwa kuwakumbuka watoto yatima Kigoma
Wito umetolewa kwa mashirika na wananchi wa mkoani Kigoma kujitokeza na kuchangia vitu mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaolelewa na kituo cha malezi ya watoto Matyazo. Na Lucas Hoha Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Joy…
30 December 2023, 08:16
Dereva afutiwa leseni, wawili mbaroni Songwe
Na mwandishi wetu,Songwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Theopista Mallya Disemba 29, 2023 ameendelea na operesheni ya ukaguzi wa magari ya abiria kwenye barabara ya kwenda Mbeya Tunduma katika kituo cha ukaguzi wa magari…