Radio Tadio

Habari

13 March 2023, 2:18 pm

UZIKWASA yawakutanisha viongozi wa vyombo vya Habari Tanzania

Kwa miaka mingi Shirika la UZIKWASA limekuwa likitoa mafunzo ya ‘mguso’ ambayo yamekuwa yakiwawezesha watu binafsi kutafakari nafasi zao katika kuchochea mabadiliko chanya pamoja na mabadiliko ya kitaasisi na Jamii kwa ujumla. Na Erick Mallya Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani…

13 March 2023, 8:52 am

TASAC yakanusha madai ya rushwa kwa CMA

Suala hilo ni miongoni malalamiko matatu yaliyoripotiwa kupitia mitandao ya kijamii ambapo pia kupitia mitandao hiyo vijana hao wamelalamikia kuvunjwa kwa mikataba bila ya kufuata utaratibu na kufanya kazi bila ya bima ya afya. Na Mindi Joseph. SHIRIKA la Wakala…

10 March 2023, 3:45 pm

Watumishi watakiwa kuimarisha ufanisi katika utendaji

Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi wa kila siku ili kufanikiwa katika kufikia malengo ya Serikali. Na Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge…

9 March 2023, 8:38 pm

UZIKWASA yaadhimisha Kipekee Siku ya Wanawake Duniani 2023

Katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya wanawake 2023 yenye kauli mbiu isemayo ‘Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia, chachu katika kuleta usawa wa kijinsia’. Shirika la UZIKWASA kwa mara ya kwanza limetoa nafasi kwa kamati za mazingira kuonyesha…

8 March 2023, 23:06 pm

Watoto 8,172 wapata ujauzizo mkoani Mtwara

Na Mohamed Massanga Watoto zaidi ya 8,172 wenye umri wa kuanzia miaka 10 hadi 19, wameripotiwa kupata Mimba Mkoani Mtwara kuanzia mwezi Januari hadi Disemba mwaka 2022. Akizungumza leo Machi 8, 2023 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke…

7 March 2023, 00:12 am

Mhe. Waziri Ndalichako awasili Mtwara

Na Mohamed Massanga Waziri wa Nchi – Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewasili mkoani Mtwara leo Machi 6, 2023 kwa ziara ya siku mbili kwa lengo la kukagua maendeleo ya maandalizi ya Uzinduzi wa Mwenge…