Radio Tadio

Habari

8 March 2023, 23:06 pm

Watoto 8,172 wapata ujauzizo mkoani Mtwara

Na Mohamed Massanga Watoto zaidi ya 8,172 wenye umri wa kuanzia miaka 10 hadi 19, wameripotiwa kupata Mimba Mkoani Mtwara kuanzia mwezi Januari hadi Disemba mwaka 2022. Akizungumza leo Machi 8, 2023 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke…

7 March 2023, 00:12 am

Mhe. Waziri Ndalichako awasili Mtwara

Na Mohamed Massanga Waziri wa Nchi – Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewasili mkoani Mtwara leo Machi 6, 2023 kwa ziara ya siku mbili kwa lengo la kukagua maendeleo ya maandalizi ya Uzinduzi wa Mwenge…

6 March 2023, 10:03 pm

Shilole atoa wito huu kwa wazazi Mitandaoni.

Msanii wa muziki na mjasiriamali maarufu Tanzania Bi. Zuwena Mohamed maarufu kama ‘Shilole’ ametoa wito kwa  wanawake kuwalinda  watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili vinavyoweza kutokana na  matumizi ya mitandao ya kijamii. Shilole alikuwa moja ya wageni walopata afas…

6 March 2023, 9:55 pm

Mwenyekiti U.W.T awasisitiza wanawake Kugombea

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Bi. Mary Pius Chatanda  amewataka wanawake kuhakikisha wanachukua fomu kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Bi Chatanda ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wanawake  Duniani, ambayo yamefanyika wilayani Pangani hapo…

3 March 2023, 12:29 pm

WCF kuendelea kuboresha utoaji huduma

Dkt.Mduma amesema kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Machi 2021 hadi Februari 2023 Waajiri wapya 5,250 wamejisajili WCF huku kati ya waajiri hao asilimia 99.27% ni waajiri wakubwa, huku asilimia 98.71% ni waajiri wa kati na waajiri wa chini ni asilimia…

1 March 2023, 7:12 pm

Dc aagiza tathimini ya maafa kufanyika haraka

Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu amewaagiza wataalamu kufanya tathmini ya Nyumba zilizoezuliwa na upepo katika Kata ya Minepa ili Kupata takwimu sahihi za wahanga. Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo February 27,Mwaka huu alipofika…

1 March 2023, 1:53 pm

Barabara ya Lami Tanga-Pangani hii hapa.

Barabara ya Tanga-Pangani KM 50, ni sehemu ya barabara ya Tanga- Pangani- Saadani -Bagamoyo  yenye urefu wa KM 256 ambayo ni sehemu ya barabara kuu ya Horohoro-Tanga- Pangani- Saadani – Bagamoyo  hadi Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania na…

27 February 2023, 4:16 pm

Vyombo vya habari vyatakiwa kutoa elimu

Wito kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kutunza vyanzo mbalimbali vya maji. Na Mindi Joseph. Wito umetolewa kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa…