Radio Tadio

Habari

19 Mei 2023, 14:57

Miradi 9 kumulikwa na mwenge wa uhuru Pangani

Na Saa Zumo Miradi tisa ya kimaendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.8 inatarajiwa kukaguliwa katika mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika kikao cha tathmini ya mapokezi ya mwenge wilayani Pangani…

17 Mei 2023, 18:42

CCM Bunda hakuna mwenyekiti kurudisha mhuri

Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bunda kimesema hakuna mwenyekiti wa mtaa hata mmoja halmashauri ya Bunda mjini kurudisha muhuri huku kikitoa siku 14 kwa viongozi wa halmashauri ya mji wa Bunda kukutana na wenyeviti wa mitaa 88 kusikiliza kero…

12 Mei 2023, 14:24

Wakulima wa Mihogo waipongeza TARI Naliendele

Na Mussa Mtepa. Wakulima wa zao la mihogo kutoka kijiji cha Mkunwa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara wameshukuru kituo cha utafiti na kilimo cha TARI Naliendele kwa kitendo cha kuwashirikisha kwenye utafiti wa zao hilo kwani wameweza kutambua umuhimu…

10 Mei 2023, 12:12

Simba wavamia na kuua mifugo Pangani.

Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga hususan wanaokaa ng’ambo ya mto Pangani kuanzia kijiji cha Bweni wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya wanyama aina ya Simba waliovamia baadhi ya vijiji. Kuanzia mwisho wa mwezi Aprili mwaka 2023 kumekuwa na matukio ya kuonekana…

10 Mei 2023, 11:16

CCM Bunda yawanoa makatibu wa uenezi kata

Chama cha mapinduzi CCM wiayani Bunda kimewataka makatibu wa siasa na uenezi kuzingatia itifaki katika Kutekeleza majukumu yao hayo yamebainishwa vkatika semina elekezi ya kuwajengea uwezo makatibu hao wa siasa na uenezi ngazi ya kata kutoka kata 33 za wilaya…