Habari
21 May 2023, 1:02 pm
Mama Valerie: Uzoefu wa miaka 20 Pangani, namna ya kuheshimu tamaduni za wengine
Ni muhimu sana kuvaa nguo vizuri kulingana na mazingira yako, mimi navaa tofauti sana nikiwa Uingereza kuliko hapa, Tanzania hasa Pangani kuna waumini wengi wa dini ya Kiislamu, sio vizuri kuvaa kaptura ni muhimu sana kuwa na heshima kwa tamaduni…
19 May 2023, 2:57 pm
Miradi 9 kumulikwa na mwenge wa uhuru Pangani
Na Saa Zumo Miradi tisa ya kimaendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.8 inatarajiwa kukaguliwa katika mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika kikao cha tathmini ya mapokezi ya mwenge wilayani Pangani…
17 May 2023, 6:42 pm
CCM Bunda hakuna mwenyekiti kurudisha mhuri
Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bunda kimesema hakuna mwenyekiti wa mtaa hata mmoja halmashauri ya Bunda mjini kurudisha muhuri huku kikitoa siku 14 kwa viongozi wa halmashauri ya mji wa Bunda kukutana na wenyeviti wa mitaa 88 kusikiliza kero…
17 May 2023, 6:23 pm
TANAPA: Upigaji faini mifugo inayoingia hifadhini bado sio ‘mwarobainiR…
Upigaji wa faini kwa mifugo inayoingia katika maeneo ya hifadhi bado sio mwarobaini wa kukomesha vitendo vya wafugaji kuingiza mifugo katika maeneo ya hifadhi hususani katika kipindi cha kiangazi. Hayo yamesemwa na Kamishna Msaidizi wa Tanapa Kanda ya Magharibi, Albert…
13 May 2023, 5:24 pm
Wenyeviti wa mitaa 88 Halmashauri ya Mji wa Bunda watishia kujiuzulu
Wenyeviti wa mitaa 88 Halmashauri ya Mji wa Bunda watishia kujiuzuru waandamana kuelekea ofisi za Chama CCM wilaya. Tukio hilo la aina yake limetokea 12 May 2023 wilayani Bunda ambapo wenyeviti hao walionelana kuitaji uongozi wa chama huku wakiwa wamebeba…
12 May 2023, 14:24 pm
Wakulima wa Mihogo waipongeza TARI Naliendele
Na Mussa Mtepa. Wakulima wa zao la mihogo kutoka kijiji cha Mkunwa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara wameshukuru kituo cha utafiti na kilimo cha TARI Naliendele kwa kitendo cha kuwashirikisha kwenye utafiti wa zao hilo kwani wameweza kutambua umuhimu…
10 May 2023, 12:12 pm
Simba wavamia na kuua mifugo Pangani.
Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga hususan wanaokaa ng’ambo ya mto Pangani kuanzia kijiji cha Bweni wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya wanyama aina ya Simba waliovamia baadhi ya vijiji. Kuanzia mwisho wa mwezi Aprili mwaka 2023 kumekuwa na matukio ya kuonekana…
10 May 2023, 11:16 am
CCM Bunda yawanoa makatibu wa uenezi kata
Chama cha mapinduzi CCM wiayani Bunda kimewataka makatibu wa siasa na uenezi kuzingatia itifaki katika Kutekeleza majukumu yao hayo yamebainishwa vkatika semina elekezi ya kuwajengea uwezo makatibu hao wa siasa na uenezi ngazi ya kata kutoka kata 33 za wilaya…
10 May 2023, 10:56 am
Wanufaika TASAF Bunda walia ucheleweshwaji fedha zao
Wito umetolewa kwa walengwa wa TASAF wilaya ya Bunda kuudhulia warsha za mafunzo ilikuwa na uelewa kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu malipo kwa familia hizo hayo yamesemwa na afisa ufuatiliaji TASAF wilayani Bunda Alex Kumwalu alipokuwa akizungumza na wanufaika wa TASAF…
4 May 2023, 2:05 pm
Watumishi wa ofisi ya Takwimu watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu
Aidha wamejadili namna ya kuendelea kuboresha takwimu, changamoto, Mafanikio na kutafuta ufumbuzi. Na Alfred Bulahya. Wafanyakazi wa ofisi ya Taifa Takwimu (NBS) wameaswa kuendelea kuwa waadilifu katika uzalishaji wa takwimu ili kuliletea maendeleo Taifa. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri…