Habari
26 October 2025, 8:42 pm
Wasimamizi vituo vya kupigia kura watakiwa kuzingatia sheria
Zaidi ya wasimamizi wakuu na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura 1,950 wanatarajia kwenda kusimamia vituo 650 vya kupigia kura katika jimbo la Sengerema wamekura kiapo cha uadilifu ili kutekeleza jukumu la uchaguzi mkuu jimbo la Sengerema. Na Mwandishi wetu…
6 October 2025, 11:26 am
Wazazi watakiwa kuendeleza malezi kwa wahitimu kidato cha nne
Malezi kwa vijana wanaohitimu kidato cha nne ni jukumu la wazazi na walezi sambamba na jamii inayowazunguka wakizingatia kulinda mila na desturi Na Ospicia Didace, Karagwe Wazazi na walezi wilayani Karagwe wameaswa kuwatunza watoto wao hata baada ya kuhitimu ngazi…
2 October 2025, 3:15 pm
Wazee walia na huduma duni za afya Bukoba
Wazee katika maeneo mbalimbali nchini wameitumia siku ya wazee duniani kupaza sauti zao kwa serikali wakilalamikia mambo kadha kubwa likitawala suala la huduma duni za afya Na Theophilida Felician, Bukoba. Tarehe 1 Oktoba kila mwaka ni siku ya wazee duniani…
27 September 2025, 7:31 pm
DC Tabora azindua dawati la uwezeshaji biashara
Na Wilson Makalla Mkuu wa wilaya ya Tabora, Upendo Wella amezindua Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara kwa Wananchi mkoa wa Tabora siku ya Jumanne Septemba 23, 2025 katika Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) Mkoa wa Tabora na…
27 September 2025, 7:14 pm
RC Chacha awasihi wafanyabiashara kujisajili mfumo wa NeST
“Serikali inaendelea kushirikiana kwa karibu na wananchi kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa sambamba na kuweka mazingira bora ya biashara na uwekezaji”, Paul Chacha. Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewataka wafanya biashara ndogondogo Mkoani Tabora kujiweka…
September 25, 2025, 7:05 pm
BAKWATA Arusha yatoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum
Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Arusha umetembelea na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali katika shule ya msingi Kaloleni, inayowahudumia watoto wenye mahitaji maalum, kama sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Maulid yatakayofanyika Jumamosi hii jijini Arusha.…
13 September 2025, 9:04 am
TRA Iringa yazindua dawati la uwezeshaji biashara
Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…
September 1, 2025, 6:23 pm
DC Siima aagiza usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Wananchi na wamiliki wa maduka wilayani Bukoba mkoani Kagera wametakiwa kufanya usafi wa jumla kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kutunza taswira nzuri ya wilaya hiyo. Na Avitus Kyaruzi Mkuu wa…
24 August 2025, 6:29 pm
Yatima wakabidhiwa nyumba iliyojengwa na Rais Samia Bukoba
Wakati watoto yatima katika maeneo mengi nchini wakitengwa katika makazi ya upweke, hali imekuwa tofauti kwa watoto sita yatima wajukuu wa bibi Catherine Nathanael wa mtaa wa Bulibata kata ya Buhembe manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera. Na Theophilida Felician,…
August 23, 2025, 3:42 pm
Akikutwa na tuhuma hatua zichukuliwe-DC Nkinda
Katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero DC Nkinda alipokea malalamiko kutoka kwa mwananchi Emanuel Maduhu ambaye anadai aliuziwa kiwanja na serikali ya mtaa huo ambacho kilikuwa kimeuzwa awali. Na Samuel Samsoni- Kahama Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga…