Radio Tadio

Habari za Jumla

22 February 2024, 16:57

Mercy World Organization yawa faraja kwa wanyonge

Na Hobokela Lwinga Wadau, mashirika na watu binafsi wameombwa kujitokeza kusaidia makundi maalum ikiwemo yatima ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa bodi ya  taasisi isiyo ya kiserikali ya Mercy World Organization MEWO Subira Mwasamboma na…

22 February 2024, 15:09

LHRC yatembelea kituo cha redio Baraka Jijini Mbeya

Na Hobokela Lwinga Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga ametembelea Radio Baraka Fm iliyopo jiijini Mbeya.Dkt. Henga amepata wasaa wa kujifunza namna ambavyo kituo hicho kinavyoendesha shughuli zake za kuwapatia elimu wasikilizaji…

21 February 2024, 16:28

Jeshi la polisi limekamata siraha mbili zilizotelekezwa buhigwe

Watu wasiojulikana wametelekeza siraha mbili katika kijiji cha Kibuye Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma Na, Lucas Hoha Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali ikiwemo silaha AK47 moja ikiwa na Magazine yenye risasi 22 na Chinese Pisto moja ikiwa…

21 February 2024, 15:08

Chunya yavuka malengo zoezi la chanjo ya surua rubella

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Chunya imetoa chanjo ya Surua Rubella kwa watoto 44,942 sawa na asilimia 116.37 wakati lengo lilikuwa kuwafikia watoto 38,619 na kwa takwimu hiyo Halmashauri ya wilaya ya Chunya imekuwa ni wilaya iliyochanja watoto…

21 February 2024, 14:46

Kamanda wa polisi Songwe apandishwa cheo

Namwandishi wetu, Songwe Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoani Songwe wakiongozwa na Afisa Mnadhimu, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP GALLUS HYERA wamempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa huo kwa kupandishwa cheo kutoka Kamishna…

21 February 2024, 13:07

Profesa Ndalichako kuifanya sekta ya elimu kuwa kipaumbele Kasulu

Waziri ofisi ya Waziri Mkuu, ajira, vijana  na wenye ulemavu Pro. Joyce Ndalichako amesema ataendelea kuhakikisha sekta ya elimu katika jimbo la kasulu mjini inapewa kipaumbele. Profesa Ndalichko amesema hayo wakati akigawa viti  mwendo na fimbo Kwa walemavu, pamoja na magari…