Radio Tadio

Habari za Jumla

14 March 2024, 10:20

Vibao vya anuani za makazi vyageuzwa vyuma chakavu Kigoma

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Mganwa Nzota amekemea tabia za wananchi wanaoharibu miundombinu ya nguzo na vibao vya anuani ya makazi na kutumia kama vyuma chakavu. Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya utekelezaji wa mfumo wa anuani za makazi…

14 March 2024, 8:08 am

Chakula shuleni chachu ya ufaulu Rungwe

Katibu tawala wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akizungumza na wajumbe kwenye kikao cha Tathimini juu ya lishe [picha na Lennox mwamakula] Imeelezwa kuwa asilimia 93.7 ya wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo yao ni wale wanaokula chakula cha…

13 March 2024, 7:56 pm

Mama mjamzito apigwa nusura ujauzito utoke

Ukatili wa kijinsia bado unaendelea kuwa tishio kwa maisha ya wanawake wengi hasa kwenye jamii ya kimaasai, kufuatia vipigo kutumika kama sehemu ya adhabu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wa jamii hii kwa wake zao. Na Joyce Elius. Bi. Penina…

13 March 2024, 14:19

Mwaisango: Iwe mvua, jua tunaingia kwenye uchaguzi

Chama cha CHADEMA wilayani kyela kimeitaka serikali ya chama cha mapinduzi wilayani hapa kujiandaa kikamilifu katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na ule mkuu wa mwaka 2025 kuwa ni lazima wakiondoshe madarakani. Na James Mwakyembe Chama cha Democrasia na…

13 March 2024, 09:31

Familia yavamiwa Songwe, mke abakwa

Katika hali isiyo ya kawaida, familia moja mkoani Songwe imejikuta ikiingia kwenye hofu kubwa baada ya kuvamiwa usiku wa manane na kisha mama wa familia kubakwa na watu wasiofahamika. Na Ezra Mwilwa Mwanaume mmoja (Jina limehifadhiwa) mkazi  wa wilaya Songwe…

12 March 2024, 22:24

Paradise Mission kuadhimisha miaka mitatu na Rais Samia

Kila binadamu anayefanikiwa nyuma ya mafanikio yake lazima awepo mtu anayesukuma mafanikio hayo. Kutokana na hilo taasisi ya shule yenye mchepuo wa lugha ya kiingereza ya Paradise Mission imeona kwa miaka mitatu imefanikiwa kutoa elimu hasa kwa wakazi wa mkoa…

12 March 2024, 21:35

Kyandomo ahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi

Suala la uchaguzi limekuwa ni suala la kila mwananchi kushiriki ingawa katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi baadhi ya makundi yamekuwa na idadi ndogo ya wagombea ikiwemo kundi la wanawake. Na mwandishi wetu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya…

12 March 2024, 5:15 pm

Jeshi la polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi, usalama

Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wananchi wanaofanya ibada za usiku katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan wanakuwa salama, Jeshi la Polisi laahidi kulinda watu na mali zao. Jeshi la polisi mkoa wa Kusini Unguja limejipanga kuimrisha ulinzi na…