Radio Tadio

Habari za Jumla

March 18, 2024, 4:33 pm

Viongozi wa dini hamasisheni waumini wajenge mwabweni ya shule

Denis Sinkonde, Songwe Ili kukabiliana na mimba kwa wanafunzi wilayani Ileje mkoani Songwe viongozi wa dini wametakiwa kuwahamasisha waumini wao kujitolea kujenga mabweni kwenye shule za sekondari ili kuwaondolea adha wanafunzi wa kike kufuata masomo umbali mrefu. Hayo yamesemwa jana…

18 March 2024, 13:12

Maandamano ya CHADEMA yanukia Kyela

Wanachama na makada wa CHADEMA wilaya ya Kyela wanajipanga kufanya maandamano makubwa ya amani kushinikiza serikali kuunda tume huru ya uchaguzi. Na James Mwakyembe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Kyela kupitia katibu wake mwenezi Donald Mwaisango kimesema kinajipanga…

18 March 2024, 12:24

Mradi wa Dream kuwanufaisha wasichana Mbeya, Songwe

Katika dunia ya sasa kundi la wasichana wanapaswa kulindwa na kupewa mazingira mazuri ambayo yatawafanya kuondokana na changamoto zinazowakabili. Na mwandishi wetu Shirika la kimataifa la HJFMRI limesema linatarajia kutoa Sh 500 milioni kuwezesha mabinti balehe na wasichana vijana kupitia…

16 March 2024, 3:41 pm

Mdau wa maendeleo Hai akabidhi maabara kwa Dc Mkalipa

Katika kuendelea kuunga mkono serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mdau wa maendeleo wilayani Hai amekabidhi maabara ya kisasa kwa DC Mkalipa. Na Edwine Lamtey Serikali wilayani Hai imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau…

15 March 2024, 3:18 pm

KATAVI,Waandishi Tumieni Kalamu kwa Weledi

“Wandishi wa habari Mkoani Katavi wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia miiko na maadili ili kuepusha sintofahamu kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025″. Picha na Ben Gadau Na Ben Gadau-katavi Wandishi wa habari Mkoani Katavi wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia miiko…

14 March 2024, 18:12

Luoga: Watanzania niokoeni saratani ya koo inaniua

Dastani Luoga mkazi wa kitongoji cha Roma hapa wilayani Kyela ameomba watanzania kumsaidia michango ya kifedha ili kufanikisha upasuaji wa saratani ya koo inayomsumbua sasa. Na Masoud Maulid Baada ya kushindwa kula wala kunywa chochote kwa   muda wa miezi minne,…

14 March 2024, 4:03 pm

Walimu Zanzibar watakiwa kutumia mtaala mpya

Na Ishaka Mohammed Pemba “Baada ya mafunzo jukumu kubwa la mwalimu ni kutumia mtaala huo wakati wa ufundishaji” Amesema Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed Mussa. Waziri wa  Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed…