Habari za Jumla
22 March 2024, 16:46
TBL yajitosa kutunza mazingira
Na Samwel Ndoni,Mbeya Wakazi wa jiji la Mbeya wameshauriwa kupanda miti rafiki na maji ili kukabiliana na tishio la mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuathiri mazingira na vyanzo vya maji nchini. Wito huo umetolewa na Meneja wa kiwanda cha kuzalisha…
22 March 2024, 4:27 pm
Sakata la Gekul lapigwa kalenda
Mbunge wa Babati mjini Pauline Gekul kusomewa hukumu ya rufaa ya jinai April 5, 2024 Na mwandishi wetu Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara imepanga Aprili 15,2024 kusoma hukumu ya rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya…
22 March 2024, 2:24 pm
Zaidi ya Vitambulisho Elfu 64 vya NIDA Vyaletwa Mpanda
“Wananchi amesema vitambulisho hivyo vitawasaidia kwani vimewaondoa hofu ya kukosa huduma muhimu ambazo zinaambatana na vitambulisho vya taifa kama vile kufungua akaunti za Benk“ Picha na Samweli Mbugi Na Samweli Mbugi-katavi Wananchi wa kata ya Mwamkulu Wilaya ya Mpanda mkoani…
22 March 2024, 11:12 am
Katavi,watuhumiwa 14 wafikishwa Mahakamani akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi halmasha…
picha na Ben Gadau “watuhumiwa wote 14 wanashtakiwa na makosa 153 ikiwemo utakatishaji wa fedha, kuunda genge la uhalifu na kugushi malipo kwa njia ya mtandao kinyume na utaratibu“ Na Ben Gadau -Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa…
21 March 2024, 19:16
Aliyekuwa kamanda wa polisi Songwe awaaga waandishi wa habari
Unapofanya kazi mahali wapo watu unawakuta na unapokelewa na kupewa ushrikiano,basi iko hivyo unapoondoka pia ni vyema kuaga .Hii inatufundisha kutoka kwa SAPC. Theopista Mallya ambaye ameona umhimu wa kuwaaga baadhi ya watu ambao amefanya kazi nao katika mkoa wa…
21 March 2024, 7:05 pm
TARURA kutumia zaidi bil. 4.1 ukarabati wa miundombinu Maswa
Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA)Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wanatarajia kuzifanyia marekebisho Barabara zenye mtandao wa Km,227.21 zilizoathiriwa na Mvua za msimu. Na. Alex Sayi Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imeendelea na matengenezo ya barabara…
21 March 2024, 18:41
Aliyebaka, kumlaghai mwanafunzi atamuoa ahukumiwa miaka 30 jela
Hakuna mtu aliyejuu ya sharia hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu sharia kwa mjibu wa sharia za nchi. Na mwandishi wetu Mahakama ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe tarehe 15 Machi 2024 imemhukumu mshtakiwa Stanford Theobert (19) mkulima, mkazi wa Maporomoko,…
21 March 2024, 18:33
Mbunge Chumi akabidhi ambulance Ifingo
Na Bestina Nyangaro/Mafinga Mbunge wa Jimbo la Mafinga mjini Mh. Cosato David Chumi amekabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) katika kituo cha afya Ifingo kata ya Kinyanambo. Hafla ya kukabidhi gari hilo imefanyika leo machi 21 2024, kwa lengo la…
21 March 2024, 6:15 pm
Transfoma yahatarisha usalama wa wafanyabiashara Rungwe
Ili kuhakikisha shughuli za kibinadamu kufanyika, binadamu anatakiwa kuweka mazingira ya kazi yake salama. Na lennox Mwamakula Wafanyabiashara wa ndizi kwenye soko la Mabonde lililopo kata ya Msasani wilayani Rungwe wameiomba serikali kuwaboreshea soko hilo. Baadhi ya wafanyabiashara wakiendelea na…
21 March 2024, 18:00
Mwizi wa simu ahukumiwa miaka 30 jela
Sheria ni msumeno unaokatakata kuwili na sheria ni mwongozo unaotumika kuongoza mambo fulani iwe kwenye kikundi au nchi fulani, taifa la Tanzania ni miongozni mwa mataifa yanayoongozwa na sheria kupitia katiba ya nchi . Na Mwandishi wetu Mahakama ya Wilaya…