Radio Tadio

Habari za Jumla

Julai 30, 2024, 3:04 um

Wananchi wapongeza ulinzi shirikishi kutekeleza majukumu yake

Wakazi wa Kata ya Nyihogo iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameonyesha kufurahishwa na utendaji kazi wa Ulinzi shirikishi ambapo kwa asilimia kubwa umeweza kukabiliana na wimbi la vibaka na kuimalisha ulinzi na usalama. Wakizungumza hii leo  wameeleza kuwa ,Ulinzi…

30 Julai 2024, 11:55 mu

Katavi :Bilion moja kutolewa kwa wasanii halmashauri ya Nsimbo

Afisa mtendaji mkuu mfuko wa utamaduni na sanaa Tanzania Nyakaho Mturi Mahemba .picha na Samwel Mbugi “amewataka wananchi kuacha kukopa mikopo ya kausha damu kwani imekuwa ikirudisha maendeleo nyuma kwa wananchi.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Afisa mtendaji mkuu mfuko wa…

30 Julai 2024, 11:42

Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji Buhigwe

Serikali wilayani Buhigwe mkoani kigoma imesema itaendelea kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira yanayozunguka vya maji ili kusaidia kuhifadhi vyanzo vya manufaa ya jamii nzima. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kutunza vyanzo vya maji…

24 Julai 2024, 5:37 um

Manyara yajipanga kukuza uwezo wa wafanyabiashara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema baada ya maonesho ya wafanyabiasha sabasaba  yaliyofanyika jijini Dar es salaam nakuwakutanisha  wafanyabiashara kinamama na taasisi inayojishughulisha na wakina mama wanaosafirisha bidhaa nje ya nchi wanatarajia kufanya mkutano na kinamama wazalishaji na…

23 Julai 2024, 13:12

Mbunge Sichalwe awawezesha vijana kiuchumi

Kongamano la kuwawezesha vijana kiuchumi lavunja rekodi kutokana na idadi kubwa ya vijana waliojitokeza. Na mwandishi wetu, Momba Songwe Mamia ya vijana kutoka makundi na kanda mbalimbali wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) kwa kuandaa kongamano…

18 Julai 2024, 11:35 mu

Nkigi: Abiria acheni uoga

Abiria mkoani Manyara wametakiwa kupaza sauti zao na kutokuwa waoga wanapoona kuna changamoto katika vyombo vya usafiri kama dereva kukimbiza gari kwa kutoa taarifa katika vyombo vya sheria ikiwemo jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani pamoja na chama cha…