Radio Tadio

Habari za Jumla

18 Oktoba 2024, 8:05 um

NIMR  yatafiti mikakati ya chanjo ya Uviko-19

Na Yussuph Hassan. Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii ESRF kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMR zimefanya utafiti wa kutathmini mikakati ya kuongeza upataji chanjo ya Uviko-19 nchini. Akizungumza jijini Dodoma katika kongamano la…

18 Oktoba 2024, 8:04 um

TANZIA: PCMA wamlilia Askofu Mondeya

Na Nazael Mkude. Wachungaji na waamini wa kanisa la PCMA Mkoani Dodoma  wamepokea kwa masikitiko kifo cha Askofu Mkuu  Dr.  Mondea Kabeho Katibu Mkuu wa Kanisa la hilo Patrick Kajila anaelezea jinsi msiba huo ulivyotokea wakati wa ibada ya kuwafariji…

17 Oktoba 2024, 8:01 um

Zijue athari za malezi ya upande mmoja

Na Anwary Shabani                                     Malezi ya upande mmoja yametajwa kuwa ni changamto kwa makuzi ya mtoto. Kwa nyakati tofauti, wananchi Jijini Dodoma  wamesema kuwa zipo changamoto  nyingi zinamkabili mtoto anayepata malezi ya upande mmoja ikiwemo suala la elimu. Aidha wananchi  hao…

17 Oktoba 2024, 5:01 um

Dc Mtulyakwaku: Nendeni mkajiorodheshe mpate viongozi bora

Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Mohamed Mtulyakwaku amesema nyumba nzuri inaendana na msingi imara hivyo wananchi wanapaswa kujiorodesha kwenye daftari la orodha ya wapiga kura ili wapate viongozi bora. Mtulyakwaku ametoa rai kwenye uzinduzi wa…

16 Oktoba 2024, 7:27 um

Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini

Na Yusuph Hassan. Siku ya Wateknolojia Dawa Kitaifa Iimefanyika Jijini Dodoma Ikiwa na kauli mbiu Isemayo “Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini tuwajibike pamoja”. Katika kuadhimisha siku wa Wateknolojia Dawa Duniani ambayo hufanyika  Oktoba 16 kila mwaka,…

11 Oktoba 2024, 22:00

Care International yawafikia wasichana 600 Mufindi DC

Na Mwanaid Ngatala. Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani leo Oktoba 11, 2024, shirika lisilo la kiserikali, Care International, kupitia mradi wa Pesa yake maisha yake (Her Money Her Life), limegawa taulo za kike na sabuni…

11 Oktoba 2024, 7:24 um

Wafanyakazi  wahanga magonjwa ya afya ya akili sehemu za kazi

Wanyakazi wanatajwa kuwa hatarini kupata  magonjwa ya afya ya akili kutokana na mazingira ya kazi au shughuli wanazofanya. Katibu Mkuu Msaidizi Chama Wataalamu wa Saikolojia  (TAPA) Bwn. Albano Michael  pamoja Mwenyekiti Kanda ya Kati Magharibi  Bwn. Shabani Waziri wamebainisha hayo…

10 Oktoba 2024, 12:47 um

Sendiga  afika kumjulia  hali mtoto Joel

Baada ya mtoto Joeli Mariki kupatikana akiwa hai katika mlima kwaraa , mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema madaktari  wanaendelea kumpatia matibabu na hali yake bado inaendelea kuimarika kwa kuhakikisha anakuwa chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya.…